...umenikumbusha haka kamziki katamu sana....Soma bibie soma... au unataka yakutokee yale ya
"Sifa ya Moyo Tamaa, Moyo Sifa yake kutamani
Tamaa ya moyo, yaweza kukweka matatizoni
Unatamani kuzaa, wakati bado upo shuleni...
Hee! We mtoto wee!! Ebu soma kwanza wacha kuwaza ujinga!!
Umesahau kuongezea kuwa unatamani sana kuwa na mtoto na nyumba nzuri na gari zuri....hahahah wasichana bana.
Wewe ni wa kike au wa kiume?
hahahaaa wewe watu8 nani asiyependa maisha mazur teh mwee ila bado mdogo jaman tumuulze anaishi mkoa gan coz kama ni mtwara au lindi ni halali aolewe kwa umri huo tena amechelewa sana
Hahaha!!! tatizo huwa mnakuwa na matarajio makubwa wakati hatma ya maisha yenu inategemea wanaume kwa asilimia fulani...
Kitu muhimu ni kufanya mambo yako as if hakuna wanaume, kama ni shule soma na ustruggle kama wanaume wafanyavyo mwisho wa siku hakuna atayekubabaisha...
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.
Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.
Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?