Tallow oil shares slump 66% earlier today on the production guidance, Resignation and dividends

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,355
Points
2,000

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,355 2,000
Tallow oil ni biggest dropper kwenye LSE on midcap index. Leo mpaka sasa hivi share imenguka kwa asilimia 66 na kama sijakosea siku 5 zilizopita ilianguka tena kwa asilimia zaidi ya 40.

These shares are trading today under £0.50, far from £2.20 a month ago!

32D16513-7EA3-403C-964B-96346B2990E5.png


Well below a peak of £15.99 in 2012

450BCD47-C3CD-4B0E-B52B-3545923DCC37.png


Hii kampuni ilivuma sana miaka ya nyuma na inawezekana ilichangia sana waafrika wengi ku invest heavily.

Na sitashangaa siku za karibu kuchangia kwenye mauti ya wafanya biashara wakubwa! Kama ulinunua hisa mwaka 2012.

Sasa hivi unakalia hasara ya asilimia 96. Kwa maana nyingine kama uli invest Tshs 100, Leo ukiuza unapata Tshs 4!!!

Sababu za kuanguka leo ni hizi:

• Oil and gas explorer scraps its dividends, as it continues to face issues at its main producing assets in Ghana

• Targets lower production in 2020 of between 70,000 and 80,000 barrels of oil per day (bopd), as it undertook a review of its production performance issues

• It expects to produce 87,000 bopd of oil in 2019

• Tullow Oil's Chief Executive Officer Paul McDade steps down, co starts process to find a new group chief executive officer
 

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,355
Points
2,000

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,355 2,000
Ni mzuri kama una mtaji mkubwa, lakini kama unapesa ya kuungaunga lazima ufilisike, hafu sisi waswahili hatuuwezi
Ni kweli! Na zaidi unatakiwa usiwe na tabia ya kukurupuka, Uwe mtu wa kupenda kufanya research kabla ya kufanya maamuzi!
Na pia uwe mvumilivu!
 

Forum statistics

Threads 1,380,109
Members 525,695
Posts 33,765,262
Top