Tall building a threat to Ikulu

Walikuwa na wataendelea kuwa busy kulinda usalama wa magamba na chama chao, busy kuzuia mikutano na maandamano ya cdm na wapinzani wengine, hiyo ndio kazi yao hasa.
 

Nyie Watu kumbe ni wa Hatari yaani watu wa JF ni noma kumbe huwa tunakula misosi pamoja lakini hatujuani kama ni wana JF? Mkongwe kwa Sasa yupo maeneo OP na PPF tower Ndani kuna Nyumba za Zamani za Tanzania Railway Yaani ukimaliza Jengo la Zamani la Voda lililovunjwa limezungushiwa Mabati kuna Mtaa mwembamba Gari Moja tu linapita Ukiingia ndani Utamkuta kajaa Msimuache Mkamuunge Mkono Mkongwe nyie Wakongwe... Kumbe....
 
Tiba ya Haya ni kuhamia Dodoma
 
Hamia Dodoma kwani majengo yanayochunguria ikulu yapo mengi hamia Dodoma
 

Teh teh Mkuu habari ya Mkongwe kuwepo pale ninayo! Eneo la ubalozi wa Msumbiji? Tunaenda mkuu wala usiwe na wasiwasi. Huenda hata kilaji tulikuwa tukipata pamoja kwa mkongwe baada ya saa za kazi.
 
Biashara inayohitaji upeo na werevu wa hali ya juu kuitambua.
 
TISS. LTK, JWTZ na Jeshi la polisi wengi wao ni failed form four , unategemea nini hapo?

Hhahahahahahahahaha....inachekesha lakini very true...hao vimeo walikuwa wapi wakati linajengwa?Mpaka wageni (FBI) wanakuja kuwatonya?Duuh..bongo bana!Hakawi kukuta Kagame keshabook chumba hapo!
 
Mheshimiwa Kikwete ana vitu vingi vya kumkumbukia akitoka Osisini au akitoweka kwenye Uso wa Dunia lakini anaweza kuongeza maono haya, Mahali Ilipo Ikulu ya Nchi hivi sasa hapafai. wakati wa utawala wa Mjerumani na Mwingereza palikuwa sawa kulingana na siasa za Dinia wakati huo lakini hivi sasa panapwaya sana. Nilipata bahati ya kuingia Ikulu siku moja. limekuwa la kizamani kumbi zake ni ndogo na muundo wake ni wa kizamani. Pamoja na kwamba 'Old is dold " lakini kuna haja ya kuliangalia hil upyai. Miundombinu ya magorofa marefu yanayozunguka Ikulu sidhani ni muafaka kwa usalama wa Ikulu si vyema wapangaji wa magorofa hayo wawe wanachungulia kinachofanyika humo ndani, harufu kali ya samaki wanaokaangwa magogoni na harufu isiyopendeza ya pwani ya bahari imepoteza uzuri wake. JK naomba aangalie uwezekano wa kujenga Ikulu mpya sehemu tofauti na ilipo jengo lenye hadhi ya kimataifana la kisasa, lenye miundombinu mipya ya kiusalama na nafasi ya kutosha hata ya kuwa na wiwanja vya kutosha vya serehe na vya herikota inapobidi. Jengo hili liwe miongoni kwa majengo atakayomkabidhi Rais ajaye 2015 Sasa hivi uwezo tunao au mnasemaje wana JF?
 
Mzee yule alikuwa Kanali Chacha na siyo Jenerali mstaafu kama kukmbukumbu zangu ziko sahihi, dah yaani JF ipo karibu na Jumba Jeupe kupata tetesi, ziwe za Mstaafu Tendwa au utafunaji wa mali za umma ktk mawizara ya jirani au toka kwa wabunge Ofisi ya Bunge.
 
Siku zote walikuwa wapi?je jengo la wazara ya ardhi,elimu na utumishi nayo si zaidi ya ghorofa sita?tuache kukurupuka ktk maamuzi
 
[/QUOTE]

Biiiiiiig up......wanyamaze Milele tumechoka kwakweli tumechoka kabisa
 
Hatuna ulinzi tena wamarekani wameweka bugs mpaka vyooni ikulu
 
Hatuna ulinzi tena wamarekani wameweka bugs mpaka vyooni ikulu
 
Ni kweli jengo kama hili linaweza likawa ni hatari kwa usalama wa Nyumba ya taifa "Ikulu"
 
Kazi ya usalama wa taifa sio kumlinda raisi siku kazi yao ku-deal na waandishi wa habari vyama vya siasa na wale ambao mitizamo yao inakinzana na serikali

Wanaomlinda Rais kuanzia mabodigadi, madereva wa misafara, maeneo ya mikutano/masherehe na sehemu yoyote atakayokuwepo, kuangalia usalama wa Ikulu, na kutafiti vyote vinavyoweza kuhatarisha usalama wa maeneo yanayozunguka ikulu, au safarini ni moja ya shughuli za watu wa usalama wa Taifa. Pamoja na kwamba kunaweza kuwepo na askari waliopangiwa kazi maeneo hayo, bado usalama wa taifa wanahusika.
 

Sifa kuu mojawapo ya Watz ni kujikanyagakanyaga, huwa hatueleweki na pengine hatujielewi. Tokea miaka ya 1970 Bunge tukufu na serikali sikivu ya CCM viliishapitisha sheria, sheria halali, kuwa makao makuu ya serikali (ikiwa ni pamoja na Ikulu) ni DODOMA. Sheria hiyo hadi leo hii haijabatilishwa. Kilichotokea ni kwamba wahusika wa kusimamia utekelezaji wa sheria hiyo wamaeamua kula pini tu! Sasa inashanganza kuwalaumu watu waliotoa vibali vya jengo hilo - walijua hiyo Ikulu ingehamia DODOMA muda wowote. Okay, na wewe hoja yako ni muafaka, sasa kwa sababu ulizozitoa, kwa nini usipendekeze kuwa sasa ni wakati muafaka serikali kuhamia DODOMA ambako yote hayo uliyoyaeleza yatatekelezwa bila kupeleka muswada mpya Bungeni????!!!🙁
 
Mimi nashauri ikulu ihamishwe kwa kuwa haifai kufunikwa na majengo marefu. Ikiwezekana ihamishiwe Mbezi au karibu na uwanja wa ndege ili kupunguza vurugu za misafara ya wakubwa mjini
 
Binafsi sioni cha kuumiza kichwa hapa, hakuna ubishi lile ni kosa la watendaji lililo sukumwa na mmiliki wa jingo lenyewe pamoja na vimemo toka sehem sehem. Altenatively lile jengo litwaliwe kuanzia floor ya 6 hadi mwisho iwe mali ya uma na litumike na hao jamaa wa usalama ili kuweka mizania ya usalama sawa. mteja apewe altenative plot kigamboni wanako twaa ajenge tena. hii itakuwa fundisho ile principle ya Buyer be aware ita tumika ili wenye pesa wajue pesa siyo kila kitu. Vyema movement ya kutwaa jengo hilo kwa maslahi ya umma ianzie bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…