Taliban waomba Marekani Wafungue kambi ya Kijeshi

Taliban waomba Marekani Wafungue kambi ya Kijeshi

Hakuna Watu rahisi kuwagombanisha kama Wavaa Kobazi.
Je unajua Iran Taifa la kiislam Lina ugomvi mkubwa wa maji na mpaka na Taliban.

Katika Hali isiyotarajiwa Taliban yapendekeza Marekani ifungue upya kambi ya Jeshi Afghanistan

View: https://x.com/sentdefender/status/1909464893146755377

Note: zile Silaha zilichoachwa nyuma hazikuachwa bure

Sio kweli japo najizuiya kukwita muongo!!! Msemaji wa Serikali ya Teleban leo kassma akuna Mwanajesh wa Marekani atakae kanyaga Ardhi yao!!!!! Chanzo chako kina shida!!!!!
 
Hakuna Watu rahisi kuwagombanisha kama Wavaa Kobazi.
Je unajua Iran Taifa la kiislam Lina ugomvi mkubwa wa maji na mpaka na Taliban.

Katika Hali isiyotarajiwa Taliban yapendekeza Marekani ifungue upya kambi ya Jeshi Afghanistan

View: https://x.com/sentdefender/status/1909464893146755377

Note: zile Silaha zilichoachwa nyuma hazikuachwa bure

Habari iyo imekanushwa na Msemaji wa Serikali leo !!! na wametangaza akuna MWANAJESH wa Marekani ataruusiwa kuwepo ndani ya Afghanistan
 
Ndugu Muiran anatatisha kama njaaaa jangwani !!!!

Telebani wamekanusha kabisa kuwepo ruusa kama iyo..

kile kipigo alichopokea ISRAEL imekuwa ni Somo toshaa kwa wengine!!!!!

Ata Uturuki atagoma kabisa japo nae wanatazamana kinafki na Iran.. lkn sio kutumike Ardhi yake.. kuna Kambi Kubwa pale

juzi Kamanda wa IRAN amewaonya Majilani na yyte atakaesubutu kutumiwa Ardhi yake isije kusema aikuonywa !!!

Tutaisagasaga iwe Vumbi !!!!!!
 
Kwa namna marekani alivoondoka inawezekana Kuna makubaliano mengi ya siri na kuanzia apo ni km marekani Hana ugomvi tena naTalbani
 
Hakuna Watu rahisi kuwagombanisha kama Wavaa Kobazi.
Je unajua Iran Taifa la kiislam Lina ugomvi mkubwa wa maji na mpaka na Taliban.

Katika Hali isiyotarajiwa Taliban yapendekeza Marekani ifungue upya kambi ya Jeshi Afghanistan

View: https://x.com/sentdefender/status/1909464893146755377

Note: zile Silaha zilichoachwa nyuma hazikuachwa bure

Please, elaborate huo ugomvi wa maji na mpaka kati ya Afghanistan na Iran. Marekani ina role yoyote kwenye hizo gomvi iliyopelekea kurudi kwake Afghanistan?
 
Taliban wanataka kutaifisha Tena Silaha za kijeshi za Marekani
 
Watu mnavoengea ni kama Taliban hawajawahi kuwa puppet wa Marekani, 🤣 🤣 🤣.

Taliban walipewa Silaha na mafunzo na Marekani dhidi ya Umoja wa Kisoviet na wakapokea...

Israel na Marekani wamefocus na Mambo ya Hapa Duniani na Wenye Dini zao wamefocus na Mambo ya kimungu
 
Back
Top Bottom