Taliban bomb destroys 22 NATO supply trucks in Afghan north

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
  • Afghan firefighters spray water …

MAZAR-E-SHARIF, Afghanistan (Reuters) - A bomb planted by the Taliban destroyed 22 NATO trucks carrying supplies to their forces in northern Afghanistan, the Taliban and police said on Wednesday.

Eighteen fuel trucks and four supply vehicles were parked in Aibak, the capital of Samangan province, when a bomb ripped through them, wounding one person, local police said.

"At 2 a.m. the mujahideen attacked the invader NATO trucks," the Taliban said in a statement, referring to the wagons which had been driven from Uzbekistan to Afghanistan's north.

The trucks were attacked in the same province where prominent anti-Taliban lawmaker Ahmad Khan Samangani was killed on Saturday at his daughter's wedding, in a suicide bomb attack that killed 22 other guests.

"We believe the Taliban carried this out. Eighteen trucks have been totally destroyed, the rest were damaged by fire," Samangan police chief Khalil Andarabi told Reuters.

Separately, police in neighboring Baghlan province said they had detained 10 suspected Taliban members with so-called magnetic bombs, which they were trying to attach to supply trucks.

Pakistan recently reopened its border crossings with Afghanistan for NATO supplies after shutting them in November after a U.S. airstrike unintentionally killed 24 Pakistani soldiers.

(Reporting by Bashir Ansari, writing by Mirwais Harooni, editing by Amie Ferris-Rotman)

Taliban bomb destroys 22 NATO supply trucks in Afghan north - Yahoo! News
 
Taliban Taliban Taliban, this must be the peace you were suggesting last week. لإسلام دين اللصوص منبعا العنف
Hakutokuwa na Peace Afghanstan Mpaka Majeshi yote ya kigeni yaondoke huko Afghanstan hata ipite miaka 100 ijayo hali itakuwa ni hivyo hivyo uwa nikuuwe mpaka siku ya kiama M Mkwawa
 
Hiyo habari imenishtua sana, kumbe Taliban wana nguvu kiasi hiki !
Wa TALIBAN wana nguvu wameshindwa Warusi walikimbia wenyewe Afghanstan itakuwa huyo M-Marekani na Wafuasi wake? Boflo

Mhhh si walisema washawaondoa huko sasa hawa wanatokea wapi tena
Walishindwa WaRusi kuwaondowa Wa-TALIBAN itakuwa Marekani na Vikaragosi wake? Si rahisi mkuu usicheze na hawa Watu wanaokubali kufa kwa ajili ya nchi yao Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Imekula kwa Obama aisee, ingawa Bushi ndio alilianzisha

Obama haiwezi kula sana kwake maana alikutana na zigo hilo though promise zake ni kuwaondoa askari wake huko
Amejitahidi ila bado mzigo wa hao jamaa unamuelemea sana
Alichoweza kufanya ni kumuondoa tuu Osama ila Taliban bado wapo na hali ya nchi hiyo na milima yake bado safati ni ndefu sana kwa NATO
 
Wa TALIBAN wana nguvu wameshindwa Warusi walikimbia wenyewe Afghanstan itakuwa huyo M-Marekani na Wafuasi wake? Boflo

Walishindwa WaRusi kuwaondowa Wa-TALIBAN itakuwa Marekani na Vikaragosi wake? Si rahisi mkuu usicheze na hawa Watu wanaokubali kufa kwa ajili ya nchi yao Mr Rocky
Mzizi Mkavu nakubaliana na wewe sana kwa hilo
Hawa watu wako tayari kwa lolote na ni ngumu sana kuwaondoa
Milimani humo wana mapango yao na mahandaki ambayo wanajificha na kufanya lolote wanalotaka
hakuna anayejua wanapata wapi misaada ila humo wana kila kitu kwa ajili ya kupambana
 
Mr Rocky angalia video hizi WaRusi walivyoshindwa huko Afghanstan.............

WaRUSI waliharisha Damu huko Afghanstan itakuwa Wa Marekani karibu robo ya wanajeshi wa Kimarekani ni Mashoga sasa hao mashoga watawaweza Wa TALIBAN?
 
Last edited by a moderator:
Mzizi Mkavu nakubaliana na wewe sana kwa hilo
Hawa watu wako tayari kwa lolote na ni ngumu sana kuwaondoa
Milimani humo wana mapango yao na mahandaki ambayo wanajificha na kufanya lolote wanalotaka
hakuna anayejua wanapata wapi misaada ila humo wana kila kitu kwa ajili ya kupambana
Mr Rocky angalia video hizi WaRusi walivyoshindwa huko Afghanstan.............

Last edited by a moderator:
But Mkuu MziziMkavu mzigo huu wa Bush alitakiwa Obama aondokane nao maana wanazidi kufa tuu na hakuna la maana
Mawazo yao nafikiri walijua wanapambanna na watu wasio na silaha na wasio na uzoefu ila wakajkutana na watu ambao wapo tayari kufa bila kujali maisha yao na kujitoa mhanga kukpambana kwa ajili ya nchi yao
 
Obama akiondowa Wanajeshi kwa sasa itakuwa ni aibu kwa Marekani kwa sababu M-Rusi alisha muambia Bush asiingie pale Afghanstan lakini kama ujuavyo Mr Bush ni kichwa ngumu hakutaka kumsikiliza M-Rusi kaamuwa kuingia kichwa kichwa sasa kawasha moto Mr Bush kuuzima Obama hawezi tena kazi kweli ipo hapo Afghanstan watakimbia Wa Marekani kama walivyokimbia WaRusi Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
You may as well begin to call the "Taliban" by their obvious name...... "Pakistani's
 
Back
Top Bottom