Talgwu-chunya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Talgwu-chunya

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by RubenM, Sep 7, 2009.

 1. RubenM

  RubenM Senior Member

  #1
  Sep 7, 2009
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MFANYAKAZI(NURSE MIDWIFE ANAYESTAAFU AKIWA NA MSHAHARA ALIOANZIA KAZI) Hivi unaweza kutaja nini kiashirio cha uwepo wa TALGWU katika halmashauri fulani? nikimaanisha uwepo wa chochote kwa kuona au hata kuambiwa. Hainishawishi sana kama hakuna hata mmoja kati ya wafanyakazi wa halmashauri 100 ambaye hata hajui misingi na uendeshaji wa chama hiki cha wafanyakazi wa halmashauri katika serikali za mitaa,mfano katika wilaya ya chunya.:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  HUYU MTU (NURSE MIDWIFE) NI MFANO,HAJAPATA MSAADA WA CHAMA HIKI NA HAJUI KAMA KINAWEZA KUMSAIDIA.
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Karibu sana
   
Loading...