Taleban wanaendesha ndege kama magari mitaani

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,479
Reaction score
40,852
Katika hali isiyokua ya kawaida wapiganaji wa taleban Nchini Afghanistan wanaendelea kuonesha vituko vyao ambapo sasa wanaendesha Helicopters za kijeshi barabarani kama magari na imeshindwa kueleweka je wanaogopa kuruka nazo au hazina uwezo kuruka... Link hiyo jionee vituko..https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1546582745696466&id=185128278508593
 

Watakuwa kwenye mshamba darasa
 
Ndoto zao huenda zilikuwa pamoja kuviendesha hivyo vyombo vya anga, Sasa ni muda wa kutimiza!!!
 
Wacha wafurahie.. Maisha yao yote vitabu ns ktk mahandaki..
Na huku Dunia ipo ktk SONY PS5 xp na computa games!! Wao wapo live!!
 
Kama hizo ni ndege za Marekani walizoziacha, nilisikia wiki moja kabla ya leo kuwa wametumia teknolojia KUZILEMAZA, hazina uwezo wa kuruka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…