Taleban lawakata vidole waliopiga kura

Taleban lawakata vidole waliopiga kura

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,574
Reaction score
53,605
12378_799474903404510_6692839697871598830_n.jpg


Maafisa nchini Afghanistan wanasema kuwa watu 11 wamefariki akiwemo mwangalizi mmoja wa uchaguzi baada ya gari lao kazkazini mwa taifa hilo kukanyaga bomu lililotegwa barabarani siku moja tu baada ya kuanza kwa uchaguzi wa urais wa raundi ya pili.


Katika tukio jengine kundi la Taleban liliwakata vidole baadhi ya raia kama adhabu ya kushiriki katika uchaguzi nchini humo.

Zaidi ya watu 60 wameuawa na wanamgambo hao katika misururu ya mashambulizi wakati wa raundi ya pili ya uchaguzi wa urais.

Raia wa taifa hilo wanachagua kati ya aliyekuwa waziri wa maswala ya kigeni Abdulla Abdulla na Ashraf Ghani ambaye aliwahi kuhudumu kama waziri wa fedha.

Wagombea wote wameahidi kuimarisha uhusiano na mataifa ya magharibi mbali na kukabiliana na ufisadi.


Chanzo:
BBC Swahili - Habari
 
Hii ndio deen ya haq, deen iliyojaa ilm, deen ya mnyaaaaz, deen ya amani....:der:
 
marekani kuamua kukimbia sio mchezo, mrusi alikimbia, mwingereza alipata kipigo katika 1800s hajasahau
 
Hizi nchi za Kiislam zimelaaniwa, mbona wana mambo ya ajabu?, mbona wachina, wa japan, wahindi, wafilipino wametulia na kuishi kwa furaha? kunani kwenye hizi nchi za ma ustaadhi?, mara utasikia mtu kajiripua msikitini, mara utasikia wanawake wameuawa? duh
 
[h=1]AFGHANISTAN Taliban cut off ‘blue-stained' fingers of 11 voters[/h] [h=2]Taliban militants have cut off the ink-stained fingers of 11 Afghan men as a punishment for disobeying their order not to vote in the election for the crucial presidential run-off that saw a higher than expected turnout of 52 per cent.[/h]
Afghanistan-Election-540.jpg
Afghan men, who had their fingers cut off by Taliban fighters as a punishment for voting

[h=4]ZEE News "The insurgents who were defeated today cut off inked fingers of 11 voters in #Herat. The injured ppl transported to the hospital," Afghanistan's Deputy Interior Minister Ayoub Salangi tweeted. The gruesome incident took place yesterday in Herat Province after the 11 men, mostly elders, who returned after casting their ballot in the run-off to elect a successor to President Hamid Karzai, who has been in office since 2001.

The election will decide whether former Afghan foreign minister Abdullah Abdullah or ex-World Bank economist Ashraf Ghani leads the war-torn country. This election will be the first time that power in Afghanistan has been democratically transferred. Officials said over seven million people voted, a higher than expected turnout of 52 per cent based on an estimated electorate of 13.5 million voters. [/h] [h=4]
fa57d6d5-27cf-48f1-be5d-ad8dc71301af.img_.jpeg
Taliban militants, who had threatened to disrupt the vote, launched low-level attacks in which at least 46 people were killed across the country. In a statement, Taliban had warned people to "remain far away from the polling stations… Lest you should be hurt or killed." [/h] [h=4]Election commission chief Ahmad Yousef Nooristani said fewer than 200 of the 6,365 polling stations were unable to operate because of security concerns. Of those who turned out to vote, 38 per cent were women and 62 per cent were men, he was quoted as saying by the BBC. Nooristani also said there had been some complaints of irregularities which would be investigated.

After casting his own ballot, President Karzai told voters that their participation would help lead to "stability and a prosperous life" in the country. "In reality, today is the day that Afghanistan is stepping from a transition period to stability, development and peace," he said. "Today is your day to come out and save your soil from being ruined, bring stability to your country, brighten its future, choose your president and found the future of children of this soil by your vote." [/h]
BkeYQVyCMAAdJhB.jpg-large.jpeg
Afghan man who had his finger cut off during the last election, returned to vote again this time

[h=4]Presidential candidate Abdullah thanked "the whole nation of participating in the election" and called for a full investigation in the allegations of fraud. Abdullah had won 45 per cent of the first-round vote, with Ghani securing 31.6 per cent – neither achieved the 50 per cent needed to avoid a second round. As most foreign soldiers prepare to withdraw by the end of this year, the next president will face multiple challenges. [/h] [h=4]Even though the day was marked by violence, the International Security Assistance Force still lauded the election as a security success. "ISAF commends the Afghan National Security Forces, who essentially conducted non-stop security operations following the April 5th elections," said an ISAF news release.

"The ANSF led all aspects of security, securing approximately 6,200 polling centers across the country. This is a historic accomplishment," CNN reported, quoting the ISAF as saying.
090820_1_89938116.jpg
[/h]
 
Huyo mmoja sasa mwaka jana alikatwa kidole mwaka huu tena anakatwa vinabaki vitatu baada ya miaka mitatu watamkata nn? Dushelele ama?
 
... I guess has to be electronic vote all the way now for Afghans!!
... Sad story, but kinda funny seeing someone with a sticking out sore thumb!!
 
Dah nimecheka hadi basi. Kweli Watalebani ni mziki mwingine baada ya chaguzi kama tano kuna wapiga kura watakuwa hawana tena videle, naona watawakata vya miguu.

Dah shikamoo Wataleban
 
Hawa jamaa bado wanaishi kwenye dark ages, yabidi watahiriwe tena kwa mawe ya kuchonga, pumbuvu zao!
 
12378_799474903404510_6692839697871598830_n.jpg


Maafisa nchini Afghanistan wanasema kuwa watu 11 wamefariki akiwemo mwangalizi mmoja wa uchaguzi baada ya gari lao kazkazini mwa taifa hilo kukanyaga bomu lililotegwa barabarani siku moja tu baada ya kuanza kwa uchaguzi wa urais wa raundi ya pili.

Katika tukio jengine kundi la Taleban liliwakata vidole baadhi ya raia kama adhabu ya kushiriki katika uchaguzi nchini humo.
Zaidi ya watu 60 wameuawa na wanamgambo hao katika misururu ya mashambulizi wakati wa raundi ya pili ya uchaguzi wa urais.
Raia wa taifa hilo wanachagua kati ya aliyekuwa waziri wa maswala ya kigeni Abdulla Abdulla na Ashraf Ghani ambaye aliwahi kuhudumu kama waziri wa fedha.
Wagombea wote wameahidi kuimarisha uhusiano na mataifa ya magharibi mbali na kukabiliana na ufisadi.

Taleban lawakata vidole waliopiga kura - BBC Swahili - Habari


Hii dini ni ukweli si ya amani bali ni violent religion dini gani yenyewe mafundisho yake ni shari tu? Maana mtu mwema utamjua kwa matendo yake si maneno ni sawa na mti mwema utaujua kwa matunda yake
 
Hii ndio deen ya haq, deen iliyojaa ilm, deen ya mnyaaaaz, deen ya amani....:der:


Mkuu hii dini haina lolote bali maovu tu dini imejaaa kuabuse watu na kusema ni ya amani aaa wapi amani labda za ndoto halafu utasikia waislamu wakisema ooo hao si waislamu halisi wakati wanatumia Koran kuua au kuabuse mfano wa Bokoharam, Talaban, Al Qaida, Musilim Brotherhood, FIS, Hamas, Hazebollah nk
 
Matunda aliyo ya acha Muddy tunayaona ni mikosi


Sent from Iphone
 
Back
Top Bottom