Talaka

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Waungunwa nini uelewa wenu katika hili?
Katika agano la kale Deut. 24:1-2 Musa aliruhusu mume kutoa taraka.
Ila katika agano jipya Mat. 19:3-9, Yesu anasema alicho kiunganisha mungu, mwanadamu asikitenganishe, na kuongeza kuwa Musa aliruhusu talaka kutokana na ugumu wa mioyo ya wanadamu lakini awali haikuwa hivyo, na akaongeza whosoever put away his wife, "except it be for fornication"(uasherati), and shall marry another, atakuwa anazini.
Ukisoma Mark 10:11-12, Yesu anasema waliotengana na kuoa/kuolewa kwa mara nyingine watakuwa wanazini.
Hapa ile exception ya uasherati haipo.
Naomba tujadili hili, talaka imeruhusiwa au la(mainly kwa christians).
Anayeweza kuweka hiyo mistari ya bible anisaidie, mimi natumia simu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom