Talaka ya bilioni 900 na nusu

a.k.a_Mimi

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
292
113
Mahakama imeamuru Sir Chris Hohn kumlipa mkewe aliyeachana naye £337mil ambayo ni nusu ya pesa aliyonayo (Mara 3 ya kitita cha Escrow!). Kwa hiyo huyo mwanamke anakuwa tajiri zaidi ya malkia wa Uingereza.....!
 
Back
Top Bottom