Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,908
- 2,480
USA na Taliban wamekubaliana ,
USA kuwaachia huru mateka 5 wa Taliban, na Taliban kumwachia huru mateka mmoja wa USA.
Lakini baada ya kuachiwa huru mateka wote wa Taliban, na kuachiwa huru mateka huyo wa USA, wamarekani wakapigwa bubwazi kujui kwamba mateka huyo (wa usa) amesilimu.
Hapo yupo katika press conference na Raisi wa usa Barak Obama.
الله أكبر