Tala wapo vizuri

Tala wapo vizuri

Kizuri kula na nduguyako ndio maana nimekuja kuku tangazia usipate shida wakati mkopo upo wa masharti na fuu
Mkuu mkopo si kitu kizuri ata cku moja usijidanganye,ukasema kizur kula na ndgu yko....
Mkopo ni adui mbaya wa akiba yko hasa hii yenye riba,
 
Branch nao ni wazuri,ila pia lazima uwe na account Facebook na majina ya fb ya lingane na vitambulisho utakavyo tuma.
 
Mkuu mkopo si kitu kizuri ata cku moja usijidanganye,ukasema kizur kula na ndgu yko....
Mkopo ni adui mbaya wa akiba yko hasa hii yenye riba,
Hahaha sawa mkuu ila kuna muda unakuwa huna kitu unahamua kukopa ilituu kuokoa jahazi mkuu sidhani kama kuna mtu anaeweza kukopa ikiwa hana shida
 
Hao Tala wanazingua eti nimejaribu kujiunga wanasema simu hii yangu kuna mtu alishawai kujiunga na Tala so aiwezekani mpaka nowasiliane na aliyewai jiunga kwa simu hii sasa simu imepita kwa watu wangapi hii
 
Back
Top Bottom