Je! Umeshaijaribu app ya Tala? Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo! Tumia namba ya mualiko 11E7PPI. Pata mkopo sasa: http://inv.re/79pcu
Mbona unaitangaza kama Meneja?Mkuu mm nimteja tuu
Kizuri kula na nduguyako ndio maana nimekuja kuku tangazia usipate shida wakati mkopo upo wa masharti na fuuMbona unaitangaza kama Meneja?
Mkuu mimi nilikopa fasta tuu wakanitumia ukilipa deni kwa wakati wana kuongeza dauMim nilijaribu ila wanakulazimisha uwe na account ya Facebook sasa hapo mi ndo nimeshindwa kwa kweli sina account ya Facebook
Mkuu mimi nilikopa fasta tuu wakanitumia ukilipa deni kwa wakati wana kuongeza dau
Jiunge fb mkuu kwani nikazi kujiungaNafanyaje sasa Sipo Facebook?
Weka viambatanisho vya mkopo wako hapa ili tujiridhishe.Mkuu mimi nilikopa fasta tuu wakanitumia ukilipa deni kwa wakati wana kuongeza dau
Vitambulisho ni acount yako ya fbWeka viambatanisho vya mkopo wako hapa ili tujiridhishe.
Jiunge fb mkuu kwani nikazi kujiunga
Wanaanza na 20000 elfu ukilipa wanakuongezea tena 20000elfu ukilipa wana ongeza tenaWanakopesha shiling ngap kwa kuanzia?
Wanaanza na 20000 elfu ukilipa wanakuongezea tena 20000elfu ukilipa wana ongeza tena
Umesoma vizuri komenti yangu?Vitambulisho ni acount yako ya fb
Meseji niliyo pokea mkopo niliifutaUmesoma vizuri komenti yangu?
Onyesha unachosema umepatiwa na Tala,kama umepewa eleza hapa mkopo unalipwaje,pia tuwekee screenshort ya Tala,ikiwa na details za wao kukupa mkopo.
Mkuu unafaham I'd yako kwa kichaga ni niniMkuu mm nimteja tuu
Mkuu kichaga chawapi cha marangu au cha rombo au machame au kiboshoMkuu unafaham I'd yako kwa kichaga ni nini
Kimarangu ni makalioMkuu kichaga chawapi cha marangu au cha rombo au machame au kibosho
Kiwango Cha chini ni kiasi gan na Cha juu ni kiasi gan tafadhal,. Nijuze Kama wafahamJe! Umeshaijaribu app ya Tala? Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo! Tumia namba ya mualiko 11E7PPI. Pata mkopo sasa: http://inv.re/79pcu