Takwimu za RVP Tangu ajiunge na Man U

Takwimu za RVP Tangu ajiunge na Man U

Ukiondoa magoli ya van ...manure urinated ingekuwa 11th
 
Kama leo walishalowa tayari,jamaa kaingia dk67 kapga goli dk91 dah
 
jamaaa anajua tena sana ferguson aliona mbali congs R V P
 
Jamaa kipaji anacho ndo maana furguson alimchukua, kimebaki kumchukua sneijder 2

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Join Date : 6th January 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0

Inaonekana hii post imekutoa macho had ukajiunga na JF
 
TAKWIMU HAZIDANGANYI... BILA YA RVP MAN UTD INGEKUWA IMESHINDA MECHI TANO TU
Robin van Magoli akishangilia baada ya kutupia

TAKWIMU zimethibitisha kwamba Robin van Persie ameibeba sana timu yake ya Manchester United msimu huu.

Bila ya nahodha huyo wa zamani wa Arsenal, Man U ingekuwa imeshinda mechi TANO tu za Ligi Kuu ya England na ingekuwa na nusu ya pointi 52 walizonazo.

Van Persie amefunga magoli 16 ya ligi na kutoa pasi sita za magoli.

Kutokana namchango wake, Man U imeshinda mechi 17, imefungwa tatu na kutoka sare moja na hivyo kuwa na wastani wa asilimia 81 za ushindi.

Lakini ukiyatoa magoli ya RVP na pasi zake za mwisho, Man U ingekuwa imeshinda mechi tano, sare 11 na vipigo vitano -- hivyo ingekuwa na wastani wa ushindi wa asilimia 23.8 tu.

Unaweza ukaiweka hivi, wakiwa na RVP, Man United wanaongoza kwa tofauti ya pointi saba juu ya mahasimu wao Manchester City kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England.

Bila ya RVP, wangekuwa na pointi 26 na wangekuwa wakichechemea kwenye nafasi za katikati ya msimamo pamoja na klabu West Ham na Norwich.
 
chief hizi ulizoleta ni hesabu za kitoto...na zamani zile nasoma niliwahi kufundishwa kwenye somo la english..."IF CONDITION" nadhani huelewi kuwa mpira ni mchezo wa matumizi sahihi ya nafasi zinazopatikana uwanjani na sio namba na hesabu kama unazoleta wewe.

bila van persie man u...arsenal wangekuwa wanaongoza ligi...ahahahahahaaaaaa.
 
Ukiondoa magoli ya van ...manure urinated ingekuwa 11th

Mi nataka niwaulize watu kama wewe, kazi ya RVP ilikua ni kuja na jina tu ama alikuja kutia magoli? Mlitaka RVP afanye kazi gani? Ah watz ndio maana twaonekana hatuna maana zaidi ya porojo! Haya wewe mshabiki wa timu gani? Maana Manure wapo juu saivi!
 
chief hizi ulizoleta ni hesabu za kitoto...na zamani zile nasoma niliwahi kufundishwa kwenye somo la english..."IF CONDITION" nadhani huelewi kuwa mpira ni mchezo wa matumizi sahihi ya nafasi zinazopatikana uwanjani na sio namba na hesabu kama unazoleta wewe.

bila van persie man u...arsenal wangekuwa wanaongoza ligi...ahahahahahaaaaaa.

Arsenal aongoze ligi au achukue ubingwa mara hii, nakunya posta mpaka gongo la mboto, kisha na slide katika yale mavi. :-D
 
Mi nataka niwaulize watu kama wewe, kazi ya RVP ilikua ni kuja na jina tu ama alikuja kutia magoli? Mlitaka RVP afanye kazi gani? Ah watz ndio maana twaonekana hatuna maana zaidi ya porojo! Haya wewe mshabiki wa timu gani? Maana Manure wapo juu saivi!

hapo nilipo-bold chief naona haututendei haki watanzania kwa kutuhusisha na upuuzi wa mtu mmoja kuwa ndio tabia na sifa zetu sote kama watanzania.

ukiwa makini hizi ni porojo na kichefuchefu cha mnazi m1 wa arsenal anayepiga kelele kama mtoto anayelilia mdoli wake kisa tuu unachezewa na mwenzie wa nyumba ya jirani....

kushindwa kwao kumtunza na kuona thamani ya rvp..kunawafanya wajifariji kuwa amekuja kuiokoa man u as if bila yeye rvp...man u wangekuwa wanacheza 10 uwanjani na wangekuwa wanafungwa mechi zote...

mleta mada amekuwa mvivu wa fikra na kuelewa kuwa hata mwaka jana tulipoteza ubingwa kwa tofauti ya magoli ya kufunga..na pia hizo dakika za nyongeza ndizo zilikuwa zinatupatia ushindi...

additional minutes are alwayz in favour of man u...tokea kitambo hichooooo cha kina ole-gunar solskjar
 
source: mitandao mbalimbali duniani
chief hizi ulizoleta ni hesabu za kitoto...na zamani zile nasoma niliwahi kufundishwa kwenye somo la english..."IF CONDITION" nadhani huelewi kuwa mpira ni mchezo wa matumizi sahihi ya nafasi zinazopatikana uwanjani na sio namba na hesabu kama unazoleta wewe.

bila van persie man u...arsenal wangekuwa wanaongoza ligi...ahahahahahaaaaaa.
 
Hahaha...hii maneno ya Wadanganyika kusema asingekuwepo flani ni akili za uganga wa Kienyeji kabisa.
Asingekuwepo RVP kwa lugha rahisi ni kwamba kuna wengine wangekuwepo, anafunga kwa kuwa ana uwezo wa kufunga na amepewa jukumu la kufanya hivyo. Kufunga ndio kazi yake haijalishi yupo timu gani.
 
  1. Man U msimu huu imeshinda mechi 15 ikitokea nyuma (baada ya kuwa wameshafungwa wakasawazisha na kushinda)
  2. Miongoni mwa mechi hizo RVP pekee amesaidia kuipa point 25 muhimu ikiwa ni pamoja na kufunga magoli muhimu ya ushindi au kusawazisha
  3. Ukichukua pointi 49 za Man U kwa sasa na utoe pointi ambazo RVP amesababisha unapata pointi 24 ambazo ni idadi sawa na pointi alizonazo Sunderland.................

Ni upembuzi tu wa kimahesabu......unatakiwa kutafakari kidogo tu, je bila RVP Man U ingekuwa wapi?

Hiv alikua anacheza peke yake
 
bila RVP man wangekua wanacheza 10? Arseno mbona walikua na magoli yke last yia walipata nini kuizidi utd? Hii ni akila ya kuvupikia barabara na kupeleka tonge mdomoni kabsaa...
 
Back
Top Bottom