Takwimu za RVP Tangu ajiunge na Man U

Takwimu za RVP Tangu ajiunge na Man U

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
  1. Man U msimu huu imeshinda mechi 15 ikitokea nyuma (baada ya kuwa wameshafungwa wakasawazisha na kushinda)
  2. Miongoni mwa mechi hizo RVP pekee amesaidia kuipa point 25 muhimu ikiwa ni pamoja na kufunga magoli muhimu ya ushindi au kusawazisha
  3. Ukichukua pointi 49 za Man U kwa sasa na utoe pointi ambazo RVP amesababisha unapata pointi 24 ambazo ni idadi sawa na pointi alizonazo Sunderland.................

Ni upembuzi tu wa kimahesabu......unatakiwa kutafakari kidogo tu, je bila RVP Man U ingekuwa wapi?
 
GGMU

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwan RVP ni mchezaji wa timu gani?acha kuleta hoja zisizo na msingi the guy z highly paid for that job na kama hatofanya hivyo hawez endelea na reds army...ndo mana AF akatoa mkwanja wa kutosha ajili hiyo...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Vyovyote vile bado RVP ni mchezaji wa Man U na ataendelea kua mchezaji wa Man U na kuipa point nying zaid
 
//QUOTE=Bwana Mapesa;5353781]Kwan RVP ni mchezaji wa timu gani?acha kuleta hoja zisizo na msingi the guy z highly paid for that job na kama hatofanya hivyo hawez endelea na reds army...ndo mana AF akatoa mkwanja wa kutosha ajili hiyo...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums[/QUOTE]
haya bana naona memory disk zenu zina virus.....................AF hajakamilisha mkwanja kama unavyodai na kuna masharti kwa hilo nenda kaformat uje nikuwekee hayo mashartu ya kutoa mkwanja wa kutosha
 
hoja ni hoja, :majani7::target::cheer2:😛op2::glasses-nerdy::A S angry::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer:😛op2::nimekataa:nimekataa:grouphug::A S thumbs_up::clock::A S-rose::mimba::typing::hug::drum::bathbaby::behindsofa:😛ainkiller::first:😛opcorn::hippie::kev::ban::flock::llama::deadhorse::flypig::msela::humble::humble:
 
ok kijana amavubi,katoe na magoli aliyofunga messi kwa barcelona halafu uliza barcelona ingekuwa wapi!?
 
ukiondoa magoli ambayo messi amefunga barcelona ungekuta sasa hivi barcelona wako wangapi kwenye ligi? au toa magoli ya ronaldo za madrid je madrid wangekua wa ngapi? ur talkin bull shyt!
 
man united tisha sana mpaka watuwananung'unika kiaina aaa man the red devils,aaah robin van persie kahama timu ya wapare bahili wa ulaya kaja kwenye ushindi na ubingwa na pesa pia aah van rvp
 
Taamu kwa wewe s--coment kitu maana tumoetoka mbali...................lakini ukweli kwangu unabaki utashi wangu.......SIWAPENDI MASHETANI ASILANI................
 
image002[1].jpg
Upande alikotoka...............:bange:
 
maswali mengine ya kipuuzi kweli eti asingekuwa Man u.... uwe unaendelea kujiuliza hivyo hivyo..
 
  1. Man U msimu huu imeshinda mechi 15 ikitokea nyuma (baada ya kuwa wameshafungwa wakasawazisha na kushinda)
  2. Miongoni mwa mechi hizo RVP pekee amesaidia kuipa point 25 muhimu ikiwa ni pamoja na kufunga magoli muhimu ya ushindi au kusawazisha
  3. Ukichukua pointi 49 za Man U kwa sasa na utoe pointi ambazo RVP amesababisha unapata pointi 24 ambazo ni idadi sawa na pointi alizonazo Sunderland.................

Ni upembuzi tu wa kimahesabu......unatakiwa kutafakari kidogo tu, je bila RVP Man U ingekuwa wapi?

I find this kind of comments/analysis extremely unthoughtful. Kwani rvp asingekuwapo man utd wangekuwa wanacheza 10 badala ya 11. Kama rvp asingekuwapo rooney/hernandez/welbeck wanaweza kucheza kama central strikers na magoli yangefungwa. Kuna msimu (2009/2010) baada ya CR kuondoka rooney aliweza kucheza more centrally na kufunga magoli mengi. Kwa hiyo ni ---- kusema mchezaji fulani asingekuwapo timu ingekuwa na point kadhaa/nafasi fulani, kwani inabidi ufanye consideration ya kwamba kutakuwa na mchezaji mwingine hapo, kwa sababu jambo mojawapo ambalo SAF amefanikiwa sana ni kujenga vikosi vya ushindi vipya pale wachezaji wanapohama/kustaafu kuanzia muda wa wakina Kanchelsk, Hughes, Poborsky, Bruce baadaye Ince, Cantona, Keane, Cole na the fledlings mpaka vikosi baada ya 1999.
 
  1. Man U msimu huu imeshinda mechi 15 ikitokea nyuma (baada ya kuwa wameshafungwa wakasawazisha na kushinda)
  2. Miongoni mwa mechi hizo RVP pekee amesaidia kuipa point 25 muhimu ikiwa ni pamoja na kufunga magoli muhimu ya ushindi au kusawazisha
  3. Ukichukua pointi 49 za Man U kwa sasa na utoe pointi ambazo RVP amesababisha unapata pointi 24 ambazo ni idadi sawa na pointi alizonazo Sunderland.................
Ni upembuzi tu wa kimahesabu......unatakiwa kutafakari kidogo tu, je bila RVP Man U ingekuwa wapi?
onesha na mechi ambazo kaleta point peke yake..ukishindwa kakoj....ukalal
 
Back
Top Bottom