Takwimu za NBS 2021- Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara maisha bora, Dar kinara pato kubwa la Taifa

The blessed Kilimanjaro
Yani vitu vizuri vyote vya maendleo Kilimanjaro haikosekani
Wale haters mnajisikiaje?
1688011634778.jpg
 
Wakuu habari za Siku nyingi,

Kama Mada inavyosomeka, hivi karibuni shirika la takwimu la Taifa (NBS) katika uchambuzi wake wa hali ya uchumi nchini, limeutaja mkoa wa dar kuwa wa Kwanza kitaifa kwa kuchangia pato la Taifa huku Pia wakazi wake wakiwa na maisha bora kwa 92%.

Mkoa wa Kilimanjaro umeendelea kuwa kinara wa wananchi wake kuishi maisha bora kwa 90% huku mkoa huo ukiwa wa 8 kuchangia pato lá Taifa.

Mkoa wa mwanza licha ya kuwa mkoa wa pili kuchangia Pato kubwa,lakini ni miongoni mwa mikoa maskini.

Mkoa wa kagera umedorora mno mwaka huu katika pato lá Taifa kwani haumo katika orodha ya mikoa 10 inayochangia Pato kubwa.

Nawasilisha

View attachment 1982368View attachment 1982369

View attachment 1982366
Hongereni "Wachaga"
 
Back
Top Bottom