luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,234
- 8,172
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamegoma kabisa kukanyaga hapa hata instanbul ,The Great Haya sundoka wameogopa
miss pablo unahabari kuwa instanbul hajatia mguu hapa tangu huu Uzi uandikwe?
Pole kwa kujifariji kwahyo wewe una akili kuzidi watafiti? KILIMANJARO hasa uchagani umewahi ona nyumba ya nyasi hata moja tu? Huko ulikotembelea umeshindwa kupiga picha hata moja tu ili kudhibitisha? Anyway KILIMANJARO ni mkoa wa 8 kuchangia Pato la taifa,na ni mkoa wa pili watu wake kuishi maisha bora(kuwa na kipato kikubwa) hii ni kwa mujibu wa nbs,wewe mkoa wako mwanza ni wa 2 kuchangia pato lakini ni wa tano kwa umaskini (mwananchi mmoja mmoja ktk nyanja za makazi,kipato nk)View attachment 2015195Yaani bila kuitaja Mwanza usingizi hupati. In short nimezunguka kote hako kamkoa kenu sijui mnakaita ka Kilimanjaro. Ni maeneo
machache sana yenye maisha bora.
Nimeenda Machame mashina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Nikaenda Huko kwa wapare Gonja, Ndungu hadi Gonja Mawole hadi Kivukoni yaani shida tupu na njaa kali, migomba hoi, barabara za upareni huko milimani ni majanga. Ukarimu sifuri. Kwa ujumla wenyeji wa Kilimanjaro walioamua kuondokana kwenda kuishi mikoa iliyobarikiwa kama Sukumaland na Kagera walichukua uamuzi wa maana sana. Kilimanjaro ibaki tu kama makaburini lakini kwa kuishi hakuna tofauti na Jehanum !
Pole kwa kujifariji kwahyo wewe una akili kuzidi watafiti? KILIMANJARO hasa uchagani umewahi ona nyumba ya nyasi hata moja tu? Huko ulikotembelea umeshindwa kupiga picha hata moja tu ili kudhibitisha? Anyway KILIMANJARO ni mkoa wa 8 kuchangia Pato la taifa,na ni mkoa wa pili watu wake kuishi maisha bora(kuwa na kipato kikubwa) hii ni kwa mujibu wa nbs,wewe mkoa wako mwanza ni wa 2 kuchangia pato lakini ni wa tano kwa umaskini (mwananchi mmoja mmoja ktk nyanja za makazi,kipato nk)View attachment 2015195View attachment 2015196Yaani bila kuitaja Mwanza usingizi hupati. In short nimezunguka kote hako kamkoa kenu sijui mnakaita ka Kilimanjaro. Ni maeneo
machache sana yenye maisha bora.
Nimeenda Machame mashina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Nikaenda Huko kwa wapare Gonja, Ndungu hadi Gonja Mawole hadi Kivukoni yaani shida tupu na njaa kali, migomba hoi, barabara za upareni huko milimani ni majanga. Ukarimu sifuri. Kwa ujumla wenyeji wa Kilimanjaro walioamua kuondokana kwenda kuishi mikoa iliyobarikiwa kama Sukumaland na Kagera walichukua uamuzi wa maana sana. Kilimanjaro ibaki tu kama makaburini lakini kwa kuishi hakuna tofauti na Jehanum !
Ha ha ja ekari kuu. Tukuudhu na tukuudhuu. Mdheke tiki.miss pablo unahabari kuwa instanbul hajatia mguu hapa tangu huu Uzi uandikwe?
Mzee wangu pumzikaYaani bila kuitaja Mwanza usingizi hupati. In short nimezunguka kote hako kamkoa kenu sijui mnakaita ka Kilimanjaro. Ni maeneo
machache sana yenye maisha bora.
Nimeenda Machame mashina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Nikaenda Huko kwa wapare Gonja, Ndungu hadi Gonja Mawole hadi Kivukoni yaani shida tupu na njaa kali, migomba hoi, barabara za upareni huko milimani ni majanga. Ukarimu sifuri. Kwa ujumla wenyeji wa Kilimanjaro walioamua kuondokana kwenda kuishi mikoa iliyobarikiwa kama Sukumaland na Kagera walichukua uamuzi wa maana sana. Kilimanjaro ibaki tu kama makaburini lakini kwa kuishi hakuna tofauti na Jehanum !
Kiukweli kabisa from my inner heart, Kilimanjaro hapafai kuishi. Unakuta mtu anamiliki robo eka ya mchaichai eti naye anajiita tajiri ! Wakati sisi huku usukumani watu wanamiliki hadi eka hamasini za ardhi na wala hakuna kujikweza. Aidha, ukungu na umande ulioko huko vijiji vya mlimani Mkoani Kilimanjaro panawafaa kuishi nyani tu mwanadamu hapana. Hata hivyo nawapongeza sana rafiki zangu wachagga kwa kuondoka huko na kwenda kuishi mikoa mitamu kama Ile iliyoko Sukumaland na kuiacha Kilimanjaro iwe sehemu ya kuzikia tu wafu wao. Poleni sana nafasi zipo usukumani karibuni sana ndugu zetu maana sisi hatuna ukabila wala ubaguzi hata ubunge ukikaa vizuri mchagga unapewa tu kama tulivyompa Kiwia wakati ule pale Ilemela. Karibuni sana ndugu zetu wenye meno yenye kutu kama kashata.Pole kwa kujifariji kwahyo wewe una akili kuzidi watafiti? KILIMANJARO hasa uchagani umewahi ona nyumba ya nyasi hata moja tu? Huko ulikotembelea umeshindwa kupiga picha hata moja tu ili kudhibitisha? Anyway KILIMANJARO ni mkoa wa 8 kuchangia Pato la taifa,na ni mkoa wa pili watu wake kuishi maisha bora(kuwa na kipato kikubwa) hii ni kwa mujibu wa nbs,wewe mkoa wako mwanza ni wa 2 kuchangia pato lakini ni wa tano kwa umaskini (mwananchi mmoja mmoja ktk nyanja za makazi,kipato nk)View attachment 2015195View attachment 2015196
Sasa kama mna ardhi kubwa nk mbona mnashindwa hata kujenga nyumba za bati? Mbona mkoa wenu ni wa pili kwa umaskini? Uchagani umewahi ona nyumba ya nyasi hata moja?Kiukweli kabisa from my inner heart, Kilimanjaro hapafai kuishi. Unakuta mtu anamiliki robo eka ya mchaichai eti naye anajiita tajiri ! Wakati sisi huku usukumani watu wanamiliki hadi eka hamasini za ardhi na wala hakuna kujikweza. Aidha, ukungu na umande ulioko huko vijiji vya mlimani Mkoani Kilimanjaro panawafaa kuishi nyani tu mwanadamu hapana. Hata hivyo nawapongeza sana rafiki zangu wachagga kwa kuondoka huko na kwenda kuishi mikoa mitamu kama Ile iliyoko Sukumaland na kuiacha Kilimanjaro iwe sehemu ya kuzikia tu wafu wao. Poleni sana nafasi zipo usukumani karibuni sana ndugu zetu maana sisi hatuna ukabila wala ubaguzi hata ubunge ukikaa vizuri mchagga unapewa tu kama tulivyompa Kiwia wakati ule pale Ilemela. Karibuni sana ndugu zetu wenye meno yenye kutu kama kashata.
Sasa kama mna ardhi kubwa nk mbona mnashindwa hata kujenga nyumba za bati? Mbona mkoa wenu ni wa pili kwa umaskini? Uchagani umewahi ona nyumba ya nyasi hata moja?
Utajiri sio kumiliki ardhi,utajiri ni kumiliki asset anuai sio lazma iwe ardhi,Kama kigezo Cha utajiri no ardhi mbona nyie wenye ardhi ndio mnaongoza kwa umaskini ?
Wahaya ndo watu gani hao Mkuu, Mbona siwajui??.Wahaya watakuja kupinga uhalisia wa takwimu, ilihali pinga yao haitobadilisha uhalisia wenyewe.
Kilimanjaro hata watu wa huku wenyewe wanakimbia kila siku.Yaani bila kuitaja Mwanza usingizi hupati. In short nimezunguka kote hako kamkoa kenu sijui mnakaita ka Kilimanjaro. Ni maeneo
machache sana yenye maisha bora.
Nimeenda Machame mashina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Nikaenda Huko kwa wapare Gonja, Ndungu hadi Gonja Mawole hadi Kivukoni yaani shida tupu na njaa kali, migomba hoi, barabara za upareni huko milimani ni majanga. Ukarimu sifuri. Kwa ujumla wenyeji wa Kilimanjaro walioamua kuondokana kwenda kuishi mikoa iliyobarikiwa kama Sukumaland na Kagera walichukua uamuzi wa maana sana. Kilimanjaro ibaki tu kama makaburini lakini kwa kuishi hakuna tofauti na Jehanum !
Uko sahihi kabisaKilimanjaro hata watu wa huku wenyewe wanakimbia kila siku.
Kuishi huku labda uwe MLEVI kupunguza mawazo, hapafai.
Hawezi kuja amepigwa na kitu kizitoInstanbul ukuje hapa.
Bukoba iko wapi hapa vs kilimanjaro
Hakuna kitu ndo maana nyuzi nyingine kule unataka kuzikimbia umebanwaHawezi kuja amepigwa na kitu kizito
Ati?Hakuna kitu ndo maana nyuzi nyingine kule unataka kuzikimbia umebanwa