Takwimu za Mayele vs Phiri, nani mkali?

Mayele akienda simba na Phiri kwenda yanga, Phiri ataibuka kidedea tu na Mayele atafuatia.
Mayele anabebwa na mafundi hatari huko but Phiri mara nyingi anajihangaikia mwenyewe tu.
Hiyo mzee alibebwa na mafundi???
20220815_122559.jpg
 
Hiyo mzee alibebwa na mafundi???View attachment 2363193
Mkuu, sikumaanisha kuwa kila goli analofunga linatokana na kubebwa but mara nyingi huwa juhudi za wenzake kumpasia na zake mwenyewe kama mfungaji. Kwa Phiri hutokea mara chache kupata pasi za kumalizia kutokana na ubinafsi wa baadhi ya wenzake pamoja na u butu wao wa kutengeneza nafasi (ukilinganisha na wataalam wa Yanga) hivyo humfanya Phiri kutumia akili zaidi, nguvu na uwezo wake binafsi kushughulika mwenyewe na kupenya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom