Takwimu za Mayele vs Phiri, nani mkali?

KUmbuka kpnd kagere anagunga goli 23 ,ligi ilikua na timu 20,
Sio point.....

Unajua Haaland mpaka muda huu ana goli ngapi pale EPL?????Haaland kacheza game 36 akianza game 32 peekee na ana goli 36 na assist 7.

je,timu zimeongezwa kufikia 40 kwenye ligi pale england?

Na hao washambuliaji wengine walivyokuwa wanafunga goli 18-22 ligi ilikuwa na timu ngapi? Si hizo hizo ???

Jibu ni UWEZO TU na si kingine,
Zaka zakazi alisema huyu ni mediocre player mkambishia

NOTE: USIJE SEMA NAMFANANISHA NA HAALAND HUO NI MFANO TU
 
Usingekosea ....hata ungemfananisha mayele na Halland
 
Takwimu ni endelevu mkuu
Takwimu wanaangalia idadi ya mechi au dakika alizocheza mchezaji na magoli aliyofunga mfano Baleke kacheza mechi 8 kafunga goli 8 ukienda kwenye takwimu ana wastani wa goli Moja Kila mechi ila ukienda kwa ufungaji Bora wanaangalia idadi ya magoli aliyofunga bila kujali amecheza mechi ngapi
 
Ok
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom