Takwimu za Mayele vs Phiri, nani mkali?

Mtetemesha matiti amekuwa substituted mara moja vs Phiri mara zote 7 (Kacheza dk chache)
Mkuu....unadhan ni vitu gan vinavyosababisha mchezaji kuwa substituted????

Majibu
Accuracy ya ufungaji

Kujiamini

Kuibeba timu

So akifeli kimoja kati ya hivyo lazima awekwe sub
 
Tunasama Phili anapiga kwenye vital signs ila mayele ni kubwa jinga hua anavurugu nyingi ila mwisho mwamsim wanaume wanabeba kiatu huku yeye akiambulia mifungo
Una maanisha mayele anapambana .......lkn phili anapiga vitu soft sio???
 
Mayele akienda simba na Phiri kwenda yanga, Phiri ataibuka kidedea tu na Mayele atafuatia.
Mayele anabebwa na mafundi hatari huko but Phiri mara nyingi anajihangaikia mwenyewe tu.
Mkuu ina maana hujaona msaada wa brain master Chama kwa phili
 
Yaani na hat-trick za wafu wa zalani kutoka sudani kusini ambako hakuna uwanja hata mmoja wa nyasi nazo mnahesabu!! Ama kweli wenye akili huko usukuleni ni wawili tu.View attachment 2362916View attachment 2362917

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mkuu......CAF ndio waliompost mayele
FB_IMG_16636805210038654.jpg
 
Huwezi kufananisha mtu mrefu na mfupi, labda kama huna akili, hopeless. Mrefu kivyovyote atashinda tu. Au ndio mambo ya center of gravity
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom