Combination ya Mayele, Musonda na Sopu

Moshi25

JF-Expert Member
May 6, 2022
1,811
2,897
Just thinking from unbeaten utopolo mindset ninaona kabisa iwapo Yanga tukimchukua Sopu acheze nyuma ya Mayele pembeni yao Musonda hata Barcelona wanakaa! Huu utakuwa utatu kama MSN wa Barca au Liverpool Firminho, Salah na Mane!

Mpira ni magoli alisema Pele haiwezekani tuwe na straika Kali tatu uwanjani Mayele, Sopu na Musonda tukose goli mbili au tatu.

Yanga tunahitaji wapachika mabao watatu Kila mechi Ili tuwe na chance kubwa zaidi ya kufunga na kupunguza kumtegemea sana Mayele maana anakabwa sana na siku zingine kiwango kinakuwa kidogo, jamaa wanamkamia sana Mayele asifunge Sopu atamaliza kazi kuiua Simba!

Dogo alitupiga Arusha hat trick tukasema hataweza Tena kamwe kusogelea nyavu zetu utopolo ila Dar akatupiga Tena Huyu dogo anafaa Yanga ya Prof Nabi

Niliona Sopu alivyokiwasha Taifa Stars dhidi ya Uganda dogo ana kipaji chenga zimo, mbio zimo, anapasua ukuta haogopi beki yoyote.

Sopu ndie mbadala wa Feitoto alieota mapembe maana kwasasa namba 10 Yanga bado hatuna. Tunafunga magoli sawa ila hayaeleweki, Sopu aje apige namba 10 nyuma ya Mayele tutamjua yeye ni nani!

Sopu akija Yanga lazima awapasue Simba Nina uhakika dogo anajua kuzifunga timu kubwa na kuifunga Simba ndio Raha ya Mwana Utopolo popote alipo Dunia nzima!

Sijakurupuka nimewaza kwa makini!

Eng Hersi chukua Sopu atakiwasha sana Yanga akicheza na Mayele na Musonda!!

Utopolo fan from 1935!

Pasaka njema wote!

Ramadhan Kareem!
 
Raha ya mwana utopolo popote dunia nzima
 
Sidhani kama huyo Sopu ana nafasi kwenye timu yetu. Maana wachezaji waliopo wamekamilika katika kila idara.
 
Just thinking from unbeaten utopolo mindset ninaona kabisa iwapo Yanga tukimchukua Sopu acheze nyuma ya Mayele pembeni yao Musonda hata Barcelona wanakaa! Huu utakuwa utatu kama MSN wa Barca au Liverpool Firminho, Salah na Mane!

Mpira ni magoli alisema Pele haiwezekani tuwe na straika Kali tatu uwanjani Mayele, Sopu na Musonda tukose goli mbili au tatu.

Yanga tunahitaji wapachika mabao watatu Kila mechi Ili tuwe na chance kubwa zaidi ya kufunga na kupunguza kumtegemea sana Mayele maana anakabwa sana na siku zingine kiwango kinakuwa kidogo, jamaa wanamkamia sana Mayele asifunge Sopu atamaliza kazi kuiua Simba!

Dogo alitupiga Arusha hat trick tukasema hataweza Tena kamwe kusogelea nyavu zetu utopolo ila Dar akatupiga Tena Huyu dogo anafaa Yanga ya Prof Nabi

Niliona Sopu alivyokiwasha Taifa Stars dhidi ya Uganda dogo ana kipaji chenga zimo, mbio zimo, anapasua ukuta haogopi beki yoyote.

Sopu ndie mbadala wa Feitoto alieota mapembe maana kwasasa namba 10 Yanga bado hatuna. Tunafunga magoli sawa ila hayaeleweki, Sopu aje apige namba 10 nyuma ya Mayele tutamjua yeye ni nani!

Sopu akija Yanga lazima awapasue Simba Nina uhakika dogo anajua kuzifunga timu kubwa na kuifunga Simba ndio Raha ya Mwana Utopolo popote alipo Dunia nzima!

Sijakurupuka nimewaza kwa makini!

Eng Hersi chukua Sopu atakiwasha sana Yanga akicheza na Mayele na Musonda!!

Utopolo fan from 1935!

Pasaka njema wote!

Ramadhan Kareem!
.
JamiiForums-20544534.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom