Takwimu za CHADEMA toka 1995

Takwimu za CHADEMA toka 1995

Hizo ni ndoto za abunwasi chadema kwisha baada ya kufunda ndoa na ukawa mchepuko sio dili baki njia kuu

I see watani zangu CCM hadi nawaonea huruma. Kama itapata hata wabunge 20 itkuwa bahati kubwa .Mr Sita mwenyekiti wa BMK kaimaliza kabisa, huku vijijini watu hawataki kusikia kabisa habari za CCM wanaitwa wasakiti na wanyang'anyi wa fedha za wanyonge huku watoto wao wakisomea chini ya miti na kukalia mawe na viloba vya mchanga.
 
tunawashukuru sana nyie watu wa vijijini .
 
huku ni kujidanganya.. kawaulize nccr mageuzi, mwaka 1995 walikuwa na wabunge kibao wa kuchaguliwa ambao hakuna chama kilichowahi kufikia hata hii chadema

No research no right to speak! Onesha data za NCCR MAGEUZI kwa mtililiko ule ule wa matokeo ya ubunge na madiwani ya CDM.
 
No research no right to speak ... weka idadi ya wabunge wa NCCR wakuchaguliwa 1995 ...

Back
Top Bottom