Takwimu za CHADEMA toka 1995

Takwimu za CHADEMA toka 1995

Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA

MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42.

Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75.

Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103"

Mwaka 2010 Wabunge 48, Madiwani. 467.

itakua vp 2015 kama si kwenda IKULU? Mchango wako ni muhim sn kufanikisha CHADEMA kushika dola.haa!!

Jipeni nafasi ya kuendelea kukua sio kukimbilia Ikulu.
 
WABUNGE : kutoka 2005-2010 growth rate ni 336% kama hiyo rate itakuwa the same chadema itakuwa na wabung 161. hivi bunge letu lina wabunge wangapi? na ikiwa ni hivyo 161 ni % ngapi ya wabunge Tanzania?
 
Mungu yupo pamoja na CHADEMA mafisadi wapo pamoja na CCM
 
kweli mkuu magamba yamevuma sasa yameganda kwenye ngozi ukitoa yanatoka na nyama
 
HISTORIA YA CHAMA NA VIONGOZI WAKE TANGU KIANZISHWE MPAKA SASA

Ikumbukwe kuwa chama kuanzia mwaka 1995 na 2000 hakikusimamisha mgombea yeyote wa nafasi ya urais kutokana na chama kuamini katika demokasia ya kusapoti vyama vyenye nguvu ambapo 1995 chama kiliazimia kumsapoti Mrema-NCCR MAGEUZI na 2000 Profesa Lipumba wa CUF - Wakati huo chama kilisimamisha wagombea wa ubunge na udiwani-kiliamini kukuza chama kwanza na kutengeneza mizizi kuanzia mtaa-kijiji-----

1995 CHADEMA ilipata wabunge 4 na madiwani 42;
2000 CHADEMA ilipata wabunge 5 na Madiwani 75;
2005 CHADEMA ilipata wabunge 11 na madiwani 103;
2010 CHADEMA ilipata wabunge 49 na madiwani 467;hapo bila kuongeza chaguzi ndogo.

2015 CHADEMA itapata wabunge 170, madiwani -------- na halmashauri -------

Raisi 2005- 5% ; 2010 27% ; 2015 75%

Tunayo kazi moja kuhakikisha kila raia mwenye sifa za kupiga kura ana kitambulisho cha kupiga kura. Hii ndio iwe kazi yetu kubwa kuanzia leo na sasa. Ushindi ni dhahiri.
 
huku ni kujidanganya.. kawaulize nccr mageuzi, mwaka 1995 walikuwa na wabunge kibao wa kuchaguliwa ambao hakuna chama kilichowahi kufikia hata hii chadema

Wacha uongo wako,weka takwimu hapa
 
Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA

MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42.

Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75.

Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103"

Mwaka 2010 Wabunge 48, Madiwani. 467.

itakua vp 2015 kama si kwenda IKULU? Mchango wako ni muhim sn kufanikisha CHADEMA kushika dola.haa!!

2015 chadema wabunge 13 madiwani 27 na halmash. 0 kama hamtaki mkaoge mlale
 
tatizo zote zina migogoro mkuu.. mfano ni mwanza na iliyokuwa arusha mjini, ilemela na moshi ambapo kuna ufisadi wa kujiundia safari hewa kwenda rwanda kutalii ili kujimegea rasilimali za wananchi maskini

Kama kuna chama wanajimegea rasilimali za watanzania basi ni ccm
 
Hizo ni ndoto za abunwasi chadema kwisha baada ya kufunda ndoa na ukawa mchepuko sio dili baki njia kuu
 
Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA

MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42.

Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75.

Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103"

Mwaka 2010 Wabunge 48, Madiwani. 467.

itakua vp 2015 kama si kwenda IKULU? Mchango wako ni muhim sn kufanikisha CHADEMA kushika dola.haa!!

Natamani kuona wapinzani wakijaza wabunge wengi bungeni ili tupate katiba mpya. Tusali jamani tusilale.
 
HISTORIA YA CHAMA NA VIONGOZI WAKE TANGU KIANZISHWE MPAKA SASA

Ikumbukwe kuwa chama kuanzia mwaka 1995 na 2000 hakikusimamisha mgombea yeyote wa nafasi ya urais kutokana na chama kuamini katika demokasia ya kusapoti vyama vyenye nguvu ambapo 1995 chama kiliazimia kumsapoti Mrema-NCCR MAGEUZI na 2000 Profesa Lipumba wa CUF - Wakati huo chama kilisimamisha wagombea wa ubunge na udiwani-kiliamini kukuza chama kwanza na kutengeneza mizizi kuanzia mtaa-kijiji-----

1995 CHADEMA ilipata wabunge 4 na madiwani 42;
2000 CHADEMA ilipata wabunge 5 na Madiwani 75;
2005 CHADEMA ilipata wabunge 11 na madiwani 103;
2010 CHADEMA ilipata wabunge 49 na madiwani 467;hapo bila kuongeza chaguzi ndogo.

2015 CHADEMA itapata wabunge 170, madiwani -------- na halmashauri -------

Raisi 2005- 5% ; 2010 27% ; 2015 75%

Tunayo kazi moja kuhakikisha kila raia mwenye sifa za kupiga kura ana kitambulisho cha kupiga kura. Hii ndio iwe kazi yetu kubwa kuanzia leo na sasa. Ushindi ni dhahiri.

Imetulia sana. Kazeni kamba tuko nyuma yenu tena wekeni kambi maeneo korofi magamba yamechoka mbaya . Rasimu imewalewesha ile mbaya, eti Nape anawachimba mkwara baadhi ya wajumbe wa Tume wasiseme lolote hahahahaha!!
 
2015 chadema wabunge 13 madiwani 27 na halmash. 0 kama hamtaki mkaoge mlale

Utakuwa unajitekenya na kucheka,cdm kwa sasa haikamatiki na hii CDM NI MSINGI ndio kaburi la ccm 2015 . Kazi yetu iliyobaki ni kuhakikisha kuwa kila mwenye sifa ya kupiga kura anajiandikisha kwenye daftari na anapiga kura basi!
 
nakumbuka hivi karibuni msanii chamelion akiwa kwenye ndoto alijirusha ghorofani na kuvunjika viungo vya mwili wake ikiwa ni pamoja na kiuno
.we genius i see.tunaisubiri real madrid aliyosema christopher columbus mvumbuzi na msafiri jk kikwete kuwa ataileta.
 
Back
Top Bottom