Takwimu za CHADEMA toka 1995

Takwimu za CHADEMA toka 1995

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102
Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA

MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42.

Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75.

Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103"

Mwaka 2010 Wabunge 48, Madiwani. 467.

itakua vp 2015 kama si kwenda IKULU? Mchango wako ni muhim sn kufanikisha CHADEMA kushika dola.haa!!
 
Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe....hatutaacha uchaguzi wowote hata wa ngazi ya kijiji...Aluta continue!!!
 
huku ni kujidanganya.. kawaulize nccr mageuzi, mwaka 1995 walikuwa na wabunge kibao wa kuchaguliwa ambao hakuna chama kilichowahi kufikia hata hii chadema
 
ilikuwa nccr ikaja cuf na sasa chadema itakuja chauma au CCK au ADC
 
huku ni kujidanganya.. kawaulize nccr mageuzi, mwaka 1995 walikuwa na wabunge kibao wa kuchaguliwa ambao hakuna chama kilichowahi kufikia hata hii chadema

wewe kweli hamnazo kabisa. kapige kwanza mswaki halafu urudi tena hapa.
 
ngoma ikivuma sana hupasuka

Ianze kwanza kupasuka ile ya upande mwingine kwa kuwa imejaa uongo, matusi, kejeli, ahadi hewa, udhaifu, ulegelege etc. Kwa haya na mengine ni lazima ngoma ipasuke. I am neutral civilian with an open mind, and long eyes!!
 
Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA

MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42.

Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75.

Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103"

Mwaka 2010 Wabunge 48, Madiwani. 467.

itakua vp 2015 kama si kwenda IKULU? Mchango wako ni muhim sn kufanikisha CHADEMA kushika dola.haa!!
Mkuu pia kuna takwimu ya halmashauri za chadema pia huongezeka kila awamu, unaweza kutupatia?
cc Tumain Makene . Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Ianze kwanza kupasuka ile ya upande mwingine kwa kuwa imejaa uongo, matusi, kejeli, ahadi hewa, udhaifu, ulegelege etc. Kwa haya na mengine ni lazima ngoma ipasuke. I am neutral civilian with an open mind, and long eyes!!

you long eyes but you dont see in swahili they may call you kipofu.
 
Mkuu pia kuna takwimu ya halmashauri za chadema pia huongezeka kila awamu, unaweza kutupatia?
cc Tumain Makene . Ben Saanane

tatizo zote zina migogoro mkuu.. mfano ni mwanza na iliyokuwa arusha mjini, ilemela na moshi ambapo kuna ufisadi wa kujiundia safari hewa kwenda rwanda kutalii ili kujimegea rasilimali za wananchi maskini
 
Mkuu, pamoja na matatizo hebu nijulishe toka 1995-2010 hadi sasa zipo ngapi?
 
Chakufurahisha zaidi waTz ndo wanazidi kufunguka akili. 2015 njia nyeupe magogoni
 
Magamba mbona tumesha wakamata pazuri tu!!!!!!!!!!!!!
 
huku ni kujidanganya.. kawaulize nccr mageuzi, mwaka 1995 walikuwa na wabunge kibao wa kuchaguliwa ambao hakuna chama kilichowahi kufikia hata hii chadema

Wewe toa data, siyo kusema walikuwa na wabunge kibao
 
Back
Top Bottom