Kwa mtazamo wangu it's ok ili kupata namba sahihi ya watalii wa sehemu usika ila inapokua n majumuisho ya jumla watalii waliokuja kwa mwaka wale wanaojirudia huwa hawaesabiwi zaidi ya mara moja, mfano mtalii katoka klm kaenda ngorongoro alafu akaondokea zanzibar huyo ataongeza idadi katika kila kituo alichotembelea ila kwa ujumla anachukuliwa mara moja kwenye kuesabu.