mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nimefurahishwa Na Takukuru ya Zanzibar kuwa endapo itapata ushahidi Kutoka Kwa Katibu MKUU wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad Juu ya vigogo wenye Akaunti za fedha nje ya nchi inauwezo wa kuzifuatilia Na kuzirudisha.Wanataka wamwombe kuongea nae Na wakawaomba wananchi wengine wenye taarifa wanakaribishwa.Chanzo: ITV taarifa ya habari.