President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
1. Baada ya mtuhumiwa kukamatwa pale st.Gapar, je alisafirishwa hadi Dsm?
2.Mtuhumiwa alipotua pale airport chini ya escort ya polisi wakiwa na mabegi yenye fedha za ushahidi, je aliwekwa mahabusu kituo cha jirani, kwa mfano pale stakishari na kidhibiti kikafungiwa stoo?
3.Kama siri za mpango huo zilivujishwa kwa mwenye mzigo, je aliamua kutuma kikosi chenye silaha kufuata mabegi yenye fedha stoo ili kupoteza ushahidi mahakamani?
4.Tukio la uvamizi wa kimafia kituo cha polisi sitakishari, lilikuwa na lengo la kupora silaha tu, au pamoja na kupoteza ushahidi stoo?
5.Unganisha nukta....mtoto hatumwi dukani bila hela, na mwenye hela anajua hela yake ilipo!