Nimeamini mapenzi ni upofu yaani mbali na vituko hivi vya kutimua mbio kujificha bado mtu anasema atashinda.Jimbo li wazi kwa ccm hata wakilisimamisha jiwe litashinda!
Nimeamini mapenzi ni upofu yaani mbali na vituko hivi vya kutimua mbio kujificha bado mtu anasema atashinda.
Hao waliokamatwa tutegemea nin? Mi naona ni vunga tu kesi yao itaisha kimyakimya na sababu kubwa hapa ni mag.amba watawachuwa watu wao leo leo.
Jimbo li wazi kwa ccm hata wakilisimamisha jiwe litashinda!
Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa{TAKUKURU} mkoani Arusha imewakamata watu wanne wanaodaiwa kwa ni wafuasi wa Chama Cha mapinduzi,CCM kwa tuhuma za kutoa rushwa kwa wajumbe wa mkutano wa jimbo la Arumeru
Mashariki Chama hicho kinarudia upigaji wa kura kutokana na uamuzi wa kamati kuu{CC} ya CCM kwa wagombea wawwili Sioi Sumari aliyepata kura 361 na Williamu Sarakikya alifanikiwa kupata kura 259.
Watu hao ambao inadaiwa kuwa ni wafuasi wa mmoja wa wagombea ubunge wa jimbo hilo wamekamatwa akiwemo katibu wa jumuiya ya vijana ya chama cha mapinduzi wilaya ya Monduli {UVCCM}Ezekiel Mollel.
Watuhumiwa hao inadaiwa kuwa waliwekwa ndani kwanza katika kituo cha polisi cha mji mdogo wa Usa river kabla ya kupelekwa makao makuu ya taasisi hiyo yaliyopo Jijini Arusha kwa mahojiano zaidi.
Kamanda wa Takukuru mkoani Arusha Mbengwa Kasomambuto amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao ambao ni wanachama wa UVCCM katika wilaya za Arumeru,Mondulu na Arusha.
Aidha taarifa za uchunguzi utoka Arumeru zimebaini kwamba vijana wawili wa UVCCM Arumeru na mmoja aliyewahi kuwa kiongozi wa jumuiya hiyo jijini Arusha walifanikiwa kutimua mbio na wanasakwa na Takukuru.
wakuu,
Nilishasema CCM kwa sasa Mungu amewafitinisha ndio maana hawaelewani wao kwa wao, wanawekeana sumu, wanatishiana maisha,wabunge wao wanatishia kumpigia rais wao kura ya kutokuwa na imani naye,yaani ni kama wanajenga mnara wa babeli, hawawezi kubaki salama.
Kumbuka salama yetu lazima CCM ianguke na dalili zenyewe ndio hizi, kajimbo kamoja kanawasumbua hivi.
Na ubunge wataukosa. CDM wanachukua kama Joshua ameoa maana wakati ule hakupata kwa sababu kimila alikuwa hana boma.
Dr. Riwa upo hadi kwenye siasa.Kumbe BOMA ni MWANAMKE...mi nilidhani nyumbani kwako unapoishi na mifugo yako!
Jimbo li wazi kwa ccm hata wakilisimamisha jiwe litashinda!
Jimbo li wazi kwa ccm hata wakilisimamisha jiwe litashinda!