Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Wanatafuta nini hao masengenyau? Mbona hawaendi kuwakamata wezi wa bil200? Au ndo ile kauli ya mafisadi papa yakikamatwa nchi itayumba?
Takukuru wilayani Muheza wamevamia kikao cha tathimini ya Chadema ni Msingi mda huu
Kuvamia maana yake nini haswa!!!???!!
Kuja bila kualikwa au kufanya kazi yao bila utambulisho? ???!!