mkongwensibi
Senior Member
- Feb 1, 2022
- 133
- 215
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anapenda kuutangazia umma kwamba usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) kwa walioomba nafasi za kazi TAKUKURU utafanyika Jijini Dodoma kuanzia tarehe 1 Machi, 2022.
Mambo Muhimu ya Kuzingatia
1. Tarehe ya usaili ni kuanzia tarehe 1 Machi, 2022;
2. Usaili utakuwa unaanza saa 2:00 asubuhi kila siku;
3. Kila mtu aliyeitwa kwenye usaili anatakiwa kufika kwenye usaili kwa siku na muda aliopangiwa akiwa na nyaraka zifuatazo:-
5. Kila mtu atakayefika kwenye usaili huu anapaswa kujigharamia
6. Kila mtu aliyeitwa kwenye usaili huu anapaswa kuhakikisha anachukua tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa wa UVIKO-19 muda wote anaposafiri na anapokuwa kwenye chumba cha usaili;
7. Majina ya watu wote walioitwa kwenye usaili pamoja na eneo la kufanyia usaili yanapatikana kwenye wavuti ya TAKUKURU www.pccb.go.tz;
Mambo Muhimu ya Kuzingatia
1. Tarehe ya usaili ni kuanzia tarehe 1 Machi, 2022;
2. Usaili utakuwa unaanza saa 2:00 asubuhi kila siku;
3. Kila mtu aliyeitwa kwenye usaili anatakiwa kufika kwenye usaili kwa siku na muda aliopangiwa akiwa na nyaraka zifuatazo:-
3.1 Nakala halisi za vyeti vya masomo (Taaluma na kozi
mbalimbali)
3.2 Picha tatu βPassport Sizeβ
3.3 Nakala halisi ya cheti cha kuzaliwa
3.4 Anwani, namba ya simu na picha za wadhamini wawili
4. Kuwasilisha nyaraka za kugushi ni kosa la jinai5. Kila mtu atakayefika kwenye usaili huu anapaswa kujigharamia