Mkuu kila kazi zina taratibu zake. Watakapompata mwenye vyeti mhusika halisi wa vyeti, yeye ndiye atawasaidia kumhoji huyo mtuhumiwa, ikiwa kuna u serious katika hili. Let's wait and see, but the move is ok.
Christian alisema kuwa anashangazwa na hatua ya kutafutwa mara kwa mara, japo mhusika wa suala hilo yuko Dar es Salaam.
sina cheti tatizo nn ?Una cheti? Au bado unakitafuta!!??
maongezi si wanayo tayari wanamfuatata kwann ? kama vp waandae mashtakaAnashangazwa na nini wakati TAKUKURU inaangalia reliability ya maongezi yake.
maongezi si wanayo tayari wanamfuatata kwann ? kama vp waandae mashtaka
sijui nifahamishe , na kama hiyo reliability mbona wana itest upande mmoja tu ? mbona hawaendi kwa daud albert kumuuliza inorder to get full insightUnajua maana ya reliability?
sijui nifahamishe , na kama hiyo reliability mbona wana itest upande mmoja tu ? mbona hawaendi kwa daud albert kumuuliza inorder to get full insight
Kichwa cha hii thread na ndani ya thread haviendani.
Soma uelewe manamayo, Kinehe.!
Ndiyo maana nikauliza. Maana kama unacho ungejua kama kumpa mtu mwingine atumie ni kosa au laa. Na ukikipata utakuja kujua kama unaweza kumpa mtu au huwezi kumpa.ch
sina cheti tatizo nn ?
Wameamua kutuvuruga hawa..TAKUKURU tena na vyeti? au me ndio mjinga sielewi