TAKUKURU na SMS!

TAKUKURU na SMS!

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
7,076
Reaction score
2,465
Nimepokea SMS - Sender: TAKUKURU
===========================
KILA UNAPOTOA AU KUPOKEA
RUSHWA UJUE UNAONWA.
KILICHOBAKI NI KUBAMBWA NA
KUADHIRIKA. ACHA RUSHWA!
===========================

:lol:
 
mi pia nimepata hiyo msg kwakweli nimestuka sana lol,wananiboa na msg zao badala wawatumie wahusika wananitumia mm lol

Je, wao tuwatumie sms ya aina gani? maana hata wao wanavuta ile mbaya.
 
Nimepokea SMS - Sender: TAKUKURU
===========================
KILA UNAPOTOA AU KUPOKEA
RUSHWA UJUE UNAONWA.
KILICHOBAKI NI KUBAMBWA NA
KUADHIRIKA. ACHA RUSHWA!
===========================

:lol:

Ndo tunakoelekea kiteknolojia............ inaitwa CELL BROADCAST......Hata wewe ukipenda kutuma ujumbe kwa watu wa mtandao fulani basi unaonana na wenye mtandao, unawalipa na wao wanakutangazia............ Si mnakumbuka ile ya CCM...??
 
Mkuu:

Binafsi kinachonitatiza ni "contents" ya hiyo sms "..kila unapotoa rushwa ujue unaonwa..": Kama ninaonwa kwanini nisikamatwe na kushitakiwa? Wakumbuke kwamba kuna msemo wa Kiswahili unasema "Miluzi mingi humpoteza Mbwa"
 
mi pia nimepata hiyo msg kwakweli nimestuka sana lol,wananiboa na msg zao badala wawatumie wahusika wananitumia mm lol

Wahusika ni wao wenye my dear Pearl!
 
yaan wewe mgeni mwenyeji harafu unatukana duuu

TWIHESAGE
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date Sat Aug 2010
Posts 1
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power 0
 
Nimepokea SMS - Sender: TAKUKURU
===========================
KILA UNAPOTOA AU KUPOKEA
RUSHWA UJUE UNAONWA.
KILICHOBAKI NI KUBAMBWA NA
KUADHIRIKA. ACHA RUSHWA!
===========================

Wajibu waambie na wao jamii inawaona wanavyokula rushwa
 
Ndio maana natumia Blackberry hakuna wa kusoma msg zangu
 
Hiyo itakuwa imeandaliwa kwa msaada mkubwa na shekh Yahya!
 
Back
Top Bottom