Takukuru mnahitajika kwenye halmashauri ya wilaya ya moshi

Takukuru mnahitajika kwenye halmashauri ya wilaya ya moshi

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
Jamani wanajf,naomba mwenye no ya simu ya takukuru mnipe,kuna hela za walimu wapya waliojiriwa zmechakachuliwa na mkurugenzi wa wilaya ya moshi..mi nataka niwachome kwasababu dodoma kila mwalimu amepewa 2500000 wakati moshi wamelipa 630000 je hii ni halali
 
Mkuu itabidi utoe taarifa zaidi, hawawezi kuanzisha uchunguzi bila ya kupata angalau kaushahidi kidogo. Kama una nyaraka mbalimbali unaweza kuziweka hapa na sisi tutaziwasilisha kwa maofisa walio makini pale ofisini kwao mitaa ya Shanty Town.
 
Jamani tueleweshane kazi ya TAKUKURU ni kuchunguza RUSHWA ama WIZI? nadhani hiyo ni kazi ya Polisi ni wizi na siyo rushwa, unless otherwise kazi ya takukuru ni kuchunguza tuhuma zilizosuswa na polisi, kimeundwa chombo cha kupambana na rushwa kisiache rushwa na kufuatilia wizi, Hao Halmashauri moshi ni watuhumiwa wa wizi tu washughulikiwe kama wezi wengine.
 
Du tuliza mzuka ni hela gani hizo za kuanzia kazi? (subsistance allowance) au kiinua mgongo dodoma hazijafika km malipo mengine mbona yanatofautiana mm km nimeandika nyumbani ni Kilimanjaro ntalipwa nauli ya kila likizo au km kuhamia huko nitakwenda kwa kilometa / ton na familia ya mke na watoto 3
chunguza tena umwage evidence nitaenda POLISI Dodoma kwanini wanachukua 2.5m wa Dodoma
 
Back
Top Bottom