makarihodari
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 227
- 186
Ngoja anyooshe nchi kwanza.
Mkuu ni kweli CCM rushwa imeota mizizi sana.Ugumu wa rushwa hii hata hivyo ni kwamba wagombea ndio wanaotoa,ingekuwa wao ndio wanaopewa ingekuwa rahisi sana kuwapata.Hata hivyo hii inawapa TAKUKURU kazi ya ziada na changamoto.TAKUKURU mko wapi?, kuna viongozi wa UVCCM na baadhi ya wagombea wataiteketeza jumuiya hiyo kwa rushwa. Tafadhali chukueni hatua za haraka. Rushwa inatembea kama njugu, uongozi umegeuzwa kuwa bidhaa inayonunuliwa sokoni..
Syndicate ya viongozi wakiongozwa na Sadifa, Jokate, Zenda wamegeuza uchaguzi huu kuwa fursa na biashara ya kujipatia kipato. Wagombea wao nao wanazunguka mikoani na kutoa rushwa ya kufuru... Baadhi yao ni
1. Jackson Kangoye
2. Kheri James
3. Abdul Van Mohamed
4. Suleiman Serera
5. Ayoub Tesha
6. Sophia Kizigo
7. Mathias Kipara
Kwa sasa wanaendelea kutembea mikoani na wilayani na kutoa rushwa ya kufuru. Tunashukuru juzi moja kati yao alikamatwa na ofisi zenu za Katavi akiwa anagawa rushwa..
NB:. Hii vita ya rushwa ni kubwa. Ni jukumu letu kumsaidia Rais wetu mpendwa Magufuli
AKILI ZA KINA NYALANDU HIZI...USIWE ZWAZWA
Kusubiri kwao ofisini au kwenda kwao huko kwenye tuhuma za rusha vitategemea ni nani wanaotoa na kupokea hiyo rushwa.takokuru wao wanakaa tu,ofisini wanasubiri waletewe wala rushwa,wakiambiwa mahala Fulani kuna rushwa hawaendi kwa mfano pale stend ya Arusha rushwa inatolewa waziwazi lakini awaendi eti wanasubiri wapelekewe ushaidi wakiwa maofisini, hawataki kabisa kuwa mashaidi kwa kuona wenyewe