TAKUKURU mko wapi? UVCCM inateketezwa kwa Rushwa

TAKUKURU mko wapi?, kuna viongozi wa UVCCM na baadhi ya wagombea wataiteketeza jumuiya hiyo kwa rushwa. Tafadhali chukueni hatua za haraka. Rushwa inatembea kama njugu, uongozi umegeuzwa kuwa bidhaa inayonunuliwa sokoni..

Syndicate ya viongozi wakiongozwa na Sadifa, Jokate, Zenda wamegeuza uchaguzi huu kuwa fursa na biashara ya kujipatia kipato. Wagombea wao nao wanazunguka mikoani na kutoa rushwa ya kufuru... Baadhi yao ni
1. Jackson Kangoye
2. Kheri James
3. Abdul Van Mohamed
4. Suleiman Serera
5. Ayoub Tesha
6. Sophia Kizigo

Kwa sasa wanaendelea kutembea mikoani na wilayani na kutoa rushwa ya kufuru. Tunashukuru juzi moja kati yao alikamatwa na ofisi zenu za Katavi akiwa anagawa rushwa..

NB:. Hii vita ya rushwa ni kubwa. Ni jukumu letu kumsaidia Rais wetu mpendwa Magufuli
Nani kakudanganya kwamba TAKUKURU ipo kwa ajili ya kukamata wanaccm ?
 
Kama una taarifa kwa nini usiwapelekee Takukuru? Isije kuwa nia yako kuwachafua wahusika.
Mbunge Nassari wa Arumeru alipeleka ushahidi wa rushwa TAKUKURU, ushahidi wa sauti na video iliyofanywa kununua madiwani kule Arusha..

TAKUKURU wakatoa matamko ya kumtisha Nassari .., na watuhumiwa wakapandishwa vyeo na aliyewatuma kununua madiwani..

Sasa TAKUKURU wewe bado unaiamini...?!
 
Mbona kuna mmoja hapo umemsahau Mkuu? au labda ndiyo Wewe mwenyewe hivyo baada ya kuona umezidiwa na hao Watajwa wako hapo ndipo ukaamua uje uwaanike huku? Huyo uliyemuacha hapo katika hiyo list yako ndiyo anahonga kupita maelezo halafu anakumbatiwa kuanzia na Mamlaka ya Mkoa wa Dar es Salaam hadi Mamlaka nzima ya Magogoni Feri. Nakupa tu initials kisha utajiongeza mwenyewe ambazo ni JRM. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mwakibinga habebwi na Magogoni Mkuu. Kila moja anajua hana uwezo...

Mchezo uliopo ni Bashite ana mgombea wake anaitwa Mathias , akishinda Mwakibinga anakuwa Naibu katibu mkuu
 
Siasa za Tanzania ni aibu "Rushwa na siasa za Tanzania, ni sawa na samaki na maji"

CDM na gia zake angani mbona hawakuita PCCB!?

Hadi leo chama hakieleweki kabisa (baada ya kumfanyia figisufigisi Dr. Slaa) kama ni chama au ni kituo cha mapumziko ya watu baada ya kuenguliwa serikalini!!

Vyama vyote vya siasa hapo Tanzania rushwa ni jadi yao, tena rushwa aina zote IPO, hadi rushwa ya laana " Ngono"
 
TAKUKURU mko wapi?, kuna viongozi wa UVCCM na baadhi ya wagombea wataiteketeza jumuiya hiyo kwa rushwa. Tafadhali chukueni hatua za haraka. Rushwa inatembea kama njugu, uongozi umegeuzwa kuwa bidhaa inayonunuliwa sokoni..

Syndicate ya viongozi wakiongozwa na Sadifa, Jokate, Zenda wamegeuza uchaguzi huu kuwa fursa na biashara ya kujipatia kipato. Wagombea wao nao wanazunguka mikoani na kutoa rushwa ya kufuru... Baadhi yao ni
1. Jackson Kangoye
2. Kheri James
3. Abdul Van Mohamed
4. Suleiman Serera
5. Ayoub Tesha
6. Sophia Kizigo

Kwa sasa wanaendelea kutembea mikoani na wilayani na kutoa rushwa ya kufuru. Tunashukuru juzi moja kati yao alikamatwa na ofisi zenu za Katavi akiwa anagawa rushwa..

NB:. Hii vita ya rushwa ni kubwa. Ni jukumu letu kumsaidia Rais wetu mpendwa Magufuli
Kuitenganisha ccm na rushwa ni kujitafutia dhambi! Nikiwa na maana
ccm=Rushwa
Rushwa=ccm
 
TAKUKURU mko wapi?, kuna viongozi wa UVCCM na baadhi ya wagombea wataiteketeza jumuiya hiyo kwa rushwa. Tafadhali chukueni hatua za haraka. Rushwa inatembea kama njugu, uongozi umegeuzwa kuwa bidhaa inayonunuliwa sokoni..

Syndicate ya viongozi wakiongozwa na Sadifa, Jokate, Zenda wamegeuza uchaguzi huu kuwa fursa na biashara ya kujipatia kipato. Wagombea wao nao wanazunguka mikoani na kutoa rushwa ya kufuru... Baadhi yao ni
1. Jackson Kangoye
2. Kheri James
3. Abdul Van Mohamed
4. Suleiman Serera
5. Ayoub Tesha
6. Sophia Kizigo

Kwa sasa wanaendelea kutembea mikoani na wilayani na kutoa rushwa ya kufuru. Tunashukuru juzi moja kati yao alikamatwa na ofisi zenu za Katavi akiwa anagawa rushwa..

NB:. Hii vita ya rushwa ni kubwa. Ni jukumu letu kumsaidia Rais wetu mpendwa Magufuli
Hao ulowataja watapata uteuzi wa magogoni hivi karibuni.
 
Wanatekeleza ilani ya chama inayosimamiwa na mwenyekiti taifa.....Acha wapige kazi.
TAKUKURU mko wapi?, kuna viongozi wa UVCCM na baadhi ya wagombea wataiteketeza jumuiya hiyo kwa rushwa. Tafadhali chukueni hatua za haraka. Rushwa inatembea kama njugu, uongozi umegeuzwa kuwa bidhaa inayonunuliwa sokoni..

Syndicate ya viongozi wakiongozwa na Sadifa, Jokate, Zenda wamegeuza uchaguzi huu kuwa fursa na biashara ya kujipatia kipato. Wagombea wao nao wanazunguka mikoani na kutoa rushwa ya kufuru... Baadhi yao ni
1. Jackson Kangoye
2. Kheri James
3. Abdul Van Mohamed
4. Suleiman Serera
5. Ayoub Tesha
6. Sophia Kizigo

Kwa sasa wanaendelea kutembea mikoani na wilayani na kutoa rushwa ya kufuru. Tunashukuru juzi moja kati yao alikamatwa na ofisi zenu za Katavi akiwa anagawa rushwa..

NB:. Hii vita ya rushwa ni kubwa. Ni jukumu letu kumsaidia Rais wetu mpendwa Magufuli
 
TAKUKURU mko wapi?, kuna viongozi wa UVCCM na baadhi ya wagombea wataiteketeza jumuiya hiyo kwa rushwa. Tafadhali chukueni hatua za haraka. Rushwa inatembea kama njugu, uongozi umegeuzwa kuwa bidhaa inayonunuliwa sokoni..

Syndicate ya viongozi wakiongozwa na Sadifa, Jokate, Zenda wamegeuza uchaguzi huu kuwa fursa na biashara ya kujipatia kipato. Wagombea wao nao wanazunguka mikoani na kutoa rushwa ya kufuru... Baadhi yao ni
1. Jackson Kangoye
2. Kheri James
3. Abdul Van Mohamed
4. Suleiman Serera
5. Ayoub Tesha
6. Sophia Kizigo
7. Mathias Kipara

Kwa sasa wanaendelea kutembea mikoani na wilayani na kutoa rushwa ya kufuru. Tunashukuru juzi moja kati yao alikamatwa na ofisi zenu za Katavi akiwa anagawa rushwa..

NB:. Hii vita ya rushwa ni kubwa. Ni jukumu letu kumsaidia Rais wetu mpendwa Magufuli
HUYU PAGAN AMUM HATARI SANA, WE JAMAA NI WALE WA MIWANI MEUSI NA SUTI AU....SIKU KADHAA NYUMA ALIELEZA JUU YA RUSHWA..

INABIDI HAO JAMAA WAFUATILIWE AISEEEE
 
Mwakibinga habebwi na Magogoni Mkuu. Kila moja anajua hana uwezo...

Mchezo uliopo ni Bashite ana mgombea wake anaitwa Mathias , akishinda Mwakibinga anakuwa Naibu katibu mkuu

Sasa unadhani ningekuchokoza na kukutega hivi hiyo taarifa ya JRM kuja kuwa Katibu Mkuu Mimi ningeijuaje Mkuu? Akhsante sana kwa kunipa ubuyu mpya ambao nilikuwa hata siujui. Safi sana.
 
Hahahaha. Yes... Dogo anapigiwa upatu kuja kuwa Naibu katibu Bara... However, uwezo wake ni Zero...

Dogo hana uwezo kabisa kabisa. Na anapewa hiyo nafasi kama Kipara atashinda. Wanachoshindwa kujua kuwa Kipata ni 34 by now
 
Mkuu nimependa comments zako kwenye nyuzi mbali mbali ubarikiwe sana

Kila nipatapo feedback kama hizi kutoka kwa Wadau na Great Thinkers wa JamiiForums huwa nafarijika mno na kuona kwamba kumbe uwepo wangu humu Jamvini una impact kubwa sana. Ni wengi mno wamesema, kusifia na kupongeza hivi kama Wewe Mkuu na niseme tu Kwenu nyote kwamba akhsanteni mno, mbarikiwe sana na tupo pamoja. Kukubalika na Great Thinkers hasa wa JamiiForums si jambo la mchezo au la kawaida. Namshukuru kwa kiasi kikubwa Mwenyezi Mungu wangu Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo kwa hii tunu / shani yote aliyonipa.
 
Back
Top Bottom