Ziada Mwana
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 201
- 22
Takukuru hawawezi kuja bila kuitwa! Mpaka wasukumwe kwa maslahi ya ...!
Hawawezi kwenda. Hao waliokuwa wanahonga ni vipandikizi wa vyombo vya dola, na pesa wanazipata huko huko, lengo ni kujipenyeza CDM
Sasa si ni jukumu la takukuru kuwafuata chadema sio watafuniwe,,,kirefu cha takukuru ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa..sharti wazuie na kupambana
Ndio maana nimewashtua, unajua huenda walikuwa bize kwa kuwafuatilia Polisi wakajisahau huku kwingine.
waanze na ya lowasa,kikwete,chenge,Msabaha,batilda...
hata kama una mahaba na mchange lakini slaa ndio amesema jamaa alikuwa anatoa rushwa..kimsingi kwa kosa la kutoa rushwa anastahili kuandikiwa barua kama mapacha watatu..hana sifa ya kubaki cdm tenaUna report alicho sema Dr.Slaa au unaandika chuki zako kwa Mchange?