Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Umewahi kusikia uchagani kuna mwanafunzi amepewa mimba? shame you CCMKupiga mimbavitoto vya shule halafu mnasuluhisha kwa kupeleka majani unasema ni upuuzi?
Umewahi kusikia uchagani kuna mwanafunzi amepewa mimba? shame you CCMKupiga mimbavitoto vya shule halafu mnasuluhisha kwa kupeleka majani unasema ni upuuzi?
Upuuzi gan kama tamaduni zinaenda kinyume na taratibu za nchi lazima ziangaliwe, mbona tamaduni za kukeketa kwenye baadhi ya makabila zimepigwa stop na serikali?? Lakin hamuoni aibu wachagga pale wadogo zenu wanaachishwa shule alafu mambo yanaisha eti kwa majani tu. Vilele itakuwa ni akili ndogo eti mtu kampa mtoto wako mimba alaf anakuletea majani na wewe unatabasamu yanaisha, huenda kuna kitu kinatangulia. Amka wachagga acha kutetea mambo yasiyo ya msingi onesha usomi wenu, hamuwezi kuendelea kutamba kwamba ni wasomi huku mnawaacha watoto wenu wanaachishwa shule kwa majani tuUpuuzi huo utaingiliaje tamaduni za makabila mshenzi sana
Ukweli mchungu mkuu achana na mila potofu atakae cheza na mtoto wa shule ashughulikiwe, kama mtaweza hivo then njoo hapa mseme elimu ilianzia kwenuMgonjwa wa Akili wewe mambo yetu yanakuhusu nini
Basi ishaungwa kunakohusika,Sijui mkuu
Nyoo tumilonjo twangu ndo tunaniweka mjini,unanionea wivu! mfyuuuu zako hahahah.Kweli aisee lakin nakuona una tumilonjo hapo
Sisi wanawake wetu wa kisukuma hawanaga milonjo hivo kama nyie wachaga