Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,223
- 18,383
Wanaamini kuwa kupambana na wachagga ni kupambana na upinzani!TAKUKURU na ustawishi wa upinzani wapi na wapi?
Wanaamini kuwa kupambana na wachagga ni kupambana na upinzani!TAKUKURU na ustawishi wa upinzani wapi na wapi?
Mambo ya kipuuzi. Basi nikwambie wewe ndio mpuuzi.Hii taasisi itakuwa imekosa kazi za msingi za kufanya na kuunza kufuatilia mambo ya kipuuzi.
Sio kweli wanaoifanya nchi hi iwe tajiri sana ni wapemba,waarabu wahindi na wazungu sababu hewa biashara zao ziko connected kimataifa .Wachaga ni machinga wachuzi wa vitu vya waarabu,wahindi,wapemba na wazungu.Ni machinga waliosambaa nchi nzima kama wasambaji wa bidhaa za viwandani au zilizoagizwa nnje na wapemba,waarabu,wahindi na wazungu.Bila wachagga hii nchi ingekuwa maskini wa kutupa
Pamoja na dingi yakoMambo ya kipuuzi. Basi nikwambie wewe ndio mpuuzi.
Mpaka tumeanza kuingiliwa kwenye mila za makabila jamani? kweli CCM ni hatari sana.Wanaamini kuwa kupambana na wachagga ni kupambana na upinzani!
Una uhakika hii habari haiko humu??Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu
Wachaga waingia matatan baada ya takukuru kuanza kuchunguza mila zao ambazo zimepitwa na wakati
Mila za kichaga ukimpa mimba mwanafunz hufungwi bali unapepewa kwa majan mabichi ya masale ambayo humanisha kuomba msamaha
Mkuu wa takukuru mkoa wa mosh bwana denis amesema mila hizo huendana na rushwa ya pesa hivyo lazima wachunguze ili wawachukurie hatua kali za kisheria wahusika amesema denis ambaye ni afisa wa takukuru
Chanzo ni enews ya east africa
LONDON BABY
Sijui mkuuUna uhakika hii habari haiko humu??