TAKUKURU kuchunguza mila za Kichaga

TAKUKURU kuchunguza mila za Kichaga

Nawakumbusha wachaga wote msisahau kukata tiket mapema!ndo muda wenyewe huu nishajiwahia mapema....

Hivi we beira wasukuma mnaendaga kweli kusalimia ndugu zenu mwisho wa mwaka au uchoyo tu unawasumbua[emoji4]
 
Sisi wasukuma huwa tunaenda kusalimia kila baada ya miez mitatu humuonag hata mzee kila siku safari za mwanza na chato haziish
 
Nawakumbusha wachaga wote msisahau kukata tiket mapema!ndo muda wenyewe huu nishajiwahia mapema....

Hivi we beira wasukuma mnaendaga kweli kusalimia ndugu zenu mwisho wa mwaka au uchoyo tu unawasumbua[emoji4]
Sagulaga
 
Takukuru sasa ni taasisi ya Dikteta uchwara. Hivi hili la kuchunguza mila za Kabila ni moja ya madhumuni ya kuanzishwa Takukuru!? Na kwanini Takukuru inaruka huku na kule kabla ya kukamilisha kazi ya zaidi ya mwaka!?

Takukuru yachunguza Sh10 milioni za wabunge CCM

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu

Wachaga waingia matatan baada ya takukuru kuanza kuchunguza mila zao ambazo zimepitwa na wakati

Mila za kichaga ukimpa mimba mwanafunz hufungwi bali unapepewa kwa majan mabichi ya masale ambayo humanisha kuomba msamaha

Mkuu wa takukuru mkoa wa mosh bwana denis amesema mila hizo huendana na rushwa ya pesa hivyo lazima wachunguze ili wawachukurie hatua kali za kisheria wahusika amesema denis ambaye ni afisa wa takukuru

Chanzo ni enews ya east africa

LONDON BABY
 
Hii taasisi itakuwa imekosa kazi za msingi za kufanya na kuunza kufuatilia mambo ya kipuuzi.
Kupiga mimbavitoto vya shule halafu mnasuluhisha kwa kupeleka majani unasema ni upuuzi?
 
Mbona sielewi na ninavyozidi kusoma michango ya watu humu ndo sielewi kabisaa. Ngoja nilale kwanza
 
Sina point, ila kwakwel kile kwetu madem wamenyimwa midhuti(chura) [emoji13]
 
Wamasai wanachinja mbuzi wanakula pamoja na kesi inaishia hapo! Wakurya wanaongea tu kikubwa wanapeana pombe na chakula kesi inaisha ila kwa vile our very target ni Wachagga there we go!! Kwa nini tu serikali isilipige marufuku hilo kabila?? Au serikali itangaze tu sisi tutawashughulikia! Mbona Myanmar wameweza kuwatokomeza warohingya? Kwa nini sisi tushindwe?
Fffffffxccccc
 
Hu Kabla Takukuru Kuwepo Rushwa Ilikua Inazuiwaje Me Nafanya Tathimin Ya Umuhimu Wa Takukuru Na Bado Cjaupata
 
Back
Top Bottom