Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 17,587
- 27,682
Lengo kuu la Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya 2007 limeainishwa katika kifungu cha 4 cha Sheria hii ikiwa ni kuhakikisha ustawi wa utawala bora na kuondoa rushwa nchini. Ili kuhakikisha lengo hili linatimia, sheria hii inaweka mazingira bora kisheria, kiutawala, na kiutekelezaji yenye mwelekeo wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini.
Kama kweli mnafanya kazi kwa mujibu wa Sheria yenu ina maana jukumu lenu mojawapo ni kuzuia rushwa.
Mumetupa namba za kuwapigia lakini mimi nawaonyesha Mtanzania mmoja kwa jina la Tulia Ackson amekuwa anafanya vitendo vinavyoashiria uwapo wa rushwa katika Jiji la Mbeya.
Mshahara wa Naibu Spika unafahamika sidhani kama unazidi Tsh 15 Milioni. Lakini huyu Tulia Ackson amekuwa akigagawa fedha taslimu kwa vikundi vya akina mama na vijana.
Nawaita TAKUKURU muende mumhoji yafuatayo,
1. Je anapata wapi hizo fedha anazogawa kwa hivyo vikundi kama fedha takwimu au bidhaa?
2. Chunguzeni akaunti yake iliyoko kwa jina la Tulia Trust, ni nani wanaingiza fedha humo?
3. Je hiyo Tulia Trust inawezekana ikawa inatakatisha fedha (money loundering) kwa kisingizo cha kutoa msaada?
4. Je hao wafadhili wa hizo fedha wanategemea kulipwa nini na Tulia Ackson?
Nimeleta hapa kwa kuwa Tulia Ackson mwenyewe anajitapa kwa kudanganya wazee wa Jiji na viongozi wa CCM Mkoa kuwa ametumwa na Magufuli kuchukua Jimbo la Mbeya ili awe SPIKA wa Bunge baada ya uchaguzi wa 2020.