Tako mbili

Tako mbili

Josaje Mtui

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
2,469
Reaction score
2,207
Kuna huu msemo ninaokutana nao humu kwenye mada ya mahusiano kujamiiana na kungonoano wa kupiga tako mbili.hivi hiyo tako mbili inapigwaje jamani kwa wale wajuzi wa hizo tako mbili..kuna mwingine ulienda mbali zaidi kwa kusema "kupiga Abiola".. Karibuni wakuu kwa udadavuzi wa hii kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tako mbili kwa nyie wanaume wadhaifu maana yake ni ushuke upande mara mbili wazungu hawa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani kinachotarajiwa kwenye hiyo panda shuka hata kwa nyie wanaume wenye nguvu si ndio hao hao wazungu wakimeru!! Kwa hiyo na wale wanaoendaga kununua utamu kwa madada poa hua ndio wanapiga tako mbili au wanakomaa kuchelewesha hao wazungu wa kimeruu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom