Ngoja waje mkuu lakini Mimi nadhani ulikuwa unaweza amka mapema sana ukaenda sokoni kulangua matunda bora alafu ukatengeneza take away kwa kusimamia mwenyewe ili kiwango cha usafi na ubora kizingatiwe