Take part on change, tumchaneni Kibonde

Take part on change, tumchaneni Kibonde

Kila siku Kibonde,Kibonde.. khaaaa! Mnazidi kumpa promo kila uchao,tupa kuleee!
 
Naomba kuuliza, hivi SMS moja unakatwa shiny ngap tena ? Wajinga ndo waliwao.,,nshaacha kutune hicho kiredio kitanbo sana
 
Kibonde ana haki zote za kutoa maoni na mitazamo yake kama mwingine yeyote yule alivyonazo.

Yeye kuwa na maoni ambayo ni tofauti na ya kwako si kukiuka misingi ya uanahabari.

Na ni wazi hujui na huelewi Jahazi ni kipindi cha aina gani.

wewe pia umepotoka, misingi ya uandishi wa habari ni kinyume na ushabiki, sasa kibonde ambaye kwa maoni yangu sio mwandishi wa habari ni shabiki tu wa redio na kanjanja aliyekubuhu katika kituo cha redio kisichokuwa na maana yeyote.
 
wewe pia umepotoka, misingi ya uandishi wa habari ni kinyume na ushabiki, sasa kibonde ambaye kwa maoni yangu sio mwandishi wa habari ni shabiki tu wa redio na kanjanja aliyekubuhu katika kituo cha redio kisichokuwa na maana yeyote.
kwako, si kwa wote. Mtu anapopingaana na mimi katika mtazamo si lazima kwamba yeye ni mjinga
 
Niliacha kusikiliza kwa sababu ya watangazaji wake hasa huyu kibonde! Anakera sana amekaa kitaarabu zaidi! Siwezi hata kuwatumia sms clouds ya kuwachana! It is a wastage of tym! Mixtape za antivirus na jf vinatosha kuwachana!
Usiishie hapo, acha na kupumua maana naye anapumua hewa hiyo hiyo unayopumua wewe. Nawe unajuwa wangapi wameacha mambo mangapi kwa sababu yako? Ulichokifanya si kipya hapa duniani
 
kwa sababu nia ni kuwachana live, naunga mkono hoja, clouds fm huwa nnasikiliza, ila hicho kipindi ndo nnajua leo kumbe gadna g hayupo tena, loh
 
wewe pia umepotoka, misingi ya uandishi wa habari ni kinyume na ushabiki, sasa kibonde ambaye kwa maoni yangu sio mwandishi wa habari ni shabiki tu wa redio na kanjanja aliyekubuhu katika kituo cha redio kisichokuwa na maana yeyote.

Tasnia ya habari ni pana. Kuna waandishi wa habari, maripota, anchors, wahariri, commentators, pundits, n.k.

Ni wazi hilo hulijui.
 
Ukiona mtu ana zungumziwa sana ujue ana sikilizwa sana.Na ana mvuto wake
 
Clouds bado naipenda hasa ninapokuwa nje ya nchi kwa kuwa naipata online. Ila maoni ya wasikilizaji yazingatiwe. Ni imani yangu vyombo vya habari ni vyombo huru na vinatakiwa vionekane hivyo kwa matendo na maneno wanayotumia. Watangazaji wawe wawezeshaji na wachochea mada zaidi kuliko kuonyesha rangi zao halisi. Wakitoka mazingira ya kazi waendeleze ushabiki mtaani. Radio ya watu iwe ya watu kweli kweli...
 
unajua mtoa mada , angejaribu kutoa mfano mmojawapo uliomkera mpaka kuamua kushawishi wanajf wengine wafikie hatua ya kumchukia mtu huyu, mimi binafsi huwa wakati mwingine nakubaliana naye ktk mpangilio wa kipindi chao, na wakati mwingine sifurahishwi nao, haswa muda mwingi wanapoutumia kama porojo ,na vicheko visivyo na maana, lkn panapotokea issue ,fulani ktk jamii yetu huifuatilia na kuweka hewani maneno ya muhusika mwenyewe huwa nawafurahia saana na wanapoanza kuchambua maneno yale, USHAURI kibonde pima kama kuna eneo unalalamikiwa na unauwezo wa kubadiklika basi badilika kwa manufaa ya radio yenu bora, upenzi wako kwa ccm kama kweli hiyo ni haki yako.
 
Huyo Kibonde hayuko sawa na nyinyi mnaomchana hamko sawa pia kwani ni lazima ufungulie clouds? katika maisha haya hakuna mwenye uwezo wa kum-badili mtu mwingine bali kujibadili yeye mwenyewe. Roho iliyokutuma kusikiliza jahazi kwamba ni ovu au njema ndilo jambo muhimu hapa kwa maana roho wa kweli atakuongoza nini usikilize na nini usisikilize. Jipatie roho sahihi wa kukuongoza nini ufanye badala ya kuwashukia kina Kibonde ktk anga zao @ Home
 
Mjenda chilo; Chalonga vyose ko munhu ayu Chibonde, ninga chalemwa na chatimba du. Alipofikia sasa Kibonde hawez kubadirika tena, 2sipoteze nguvu, muda na pesa kuwachana mana wameshachanika tayar..!! Nan kati yao hapajui JF?? Kila siku wanachanwa hapa, imetosha!!
 
Anyway hapo daa mtafuteni sugu atamaliza kila kitu, Ruge kumtoa si rahisi, since jamaa ni much know.

Hilo la uccm ndio kero balaa, alivyokuwa anaponda issue ya Zito na mabilioni ya Uswizi, utafikiri naye ana account kumbe anatete apate bia za mafisadi, njaa zingine bana noma.
 
...namalizia kwa kutoa asalaaaam walekhum kwa Kibonde..
 
Ninapata wasiwasi wa aina ya watu wengi waliopo JF, mostly ni madicteta wa kutupwa.. Guys be liberal for the while...naona mnaiponda clouds fm, mara kibonde.. There is any one mwenye sera yao! Kila taasisi ina sera na muongozo katika kujiendesha ilimradi wasivunje katiba.. Mie nakubali kua kibonde huwa anaongea vitu nsivyopenda ila huo uhuru anao tusiwe aina ya watu tunaopenda mawazo na ideas zetu ndo zidominate...tunahitaji mtu ambae ana mtizamo tofauti pale inapobiidi.
 
mti wenye matunda mazuri siku zote ndio hushambuliwa na mawe.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom