Take One: Wema Sepetu akiri kutoa Mimba

Take One: Wema Sepetu akiri kutoa Mimba

na waliokula hela halafu wamechukua 4m za uraisi nao vipi wanyongwe kabisa hao mkuuu

Sina shida na nia yake kuwa MBUNGE.

Hofu yangu ni hilo alilosema hadharani, litamuharibia njia hyo.
 
sasa yeye na waliokula escrow nani wa kuwekwa ndani jamani hizi thread bwana na mi naanzisha ya domo kula ugali usiku wa ktma 😀😀😀😀😀😀😀

Madai yao wanadhani atanyimwa ubunge eti...kwa Tanzania yetu hii? Wala rushwa (mali ya umma) wako madarakani na wanapeta kama kawaida ijekuwa mtu aliyetoa mimba yake mwenyewe?
 
Ivi una umri gani wewe!!!??

Una utoto sana.
So what then??

Sasa kama unajua mimi nina mambo ya kitoto umeniquote ya nini? Nilikutaja hadi uniquote?
Dawa imefika kwenye mfupa unaanza kulia lia...le mburulazzz wewe.
 
Sasa kama unajua mimi nina mambo ya kitoto umeniquote ya nini? Nilikutaja hadi uniquote?
Dawa imefika kwenye mfupa unaanza kulia lia...le mburulazzz wewe.

Binti umekula...?? Naona njaa inaanza kupanda kwa brain!
 
Ogopa Sana mwanamke unatoa mimba, hadi unashusha injini chini...

That's why wadau siku hizi wanawatia mimba kwanza afu Ndo wanatangaza ndoa
 
Binti umekula...?? Naona njaa inaanza kupanda kwa brain!

Unauliza kula wakati Ramadan ni keshokutwa? Kwani siwezi kula huku nikiwa naperuzi?
Acha ushamba basi, sina mkono mmoja.
 
Sasa kama unajua mimi nina mambo ya kitoto umeniquote ya nini? Nilikutaja hadi uniquote?
Dawa imefika kwenye mfupa unaanza kulia lia...le mburulazzz wewe.

Dada ...samahani lakini....kama umezoea kuongea upuuuzi sio sehemu zote za kuongea upuzi

Jaribu kuwa focused kwenye hoja ambayo watu wanaongea at a moment

Unajua ukiwa una akili ya namna hii ......Jaribu walau kuficha ujinga kwa kukaa kimya......

Pia usidhani kila mtu ni average kiasi hicho
 
Bila samahani, umeangalia alichokiandika huyo niliyemjibu hilo uliloniquote nalo?
Kama ungekua wewe ungemjibu vipi? Tuanzie hapo kwanza.
 
Dada ...samahani lakini....kama umezoea kuongea upuuuzi sio sehemu zote za kuongea upuzi

Jaribu kuwa focused kwenye hoja ambayo watu wanaongea at a moment

Unajua ukiwa una akili ya namna hii ......Jaribu walau kuficha ujinga kwa kukaa kimya......

Pia usidhani kila mtu ni average kiasi hicho

Umenisaidia sana. Thanx in advance..
 
Tatizo lake ameenda public. Kitu ambacho hakistahili kuwa praised.

Ni kitendo cha aibu ambacho kina baki kti ya wawili tu.

Poor WEMA.

Kwa kukili mbele za watu amesamehewa na alieyemuumba na moyo wake uko huru na anaonesha kujuta kwa hiyo punguzeni midomo kumsakama wema hafai kwenda bungeni kwa lipi baya alilonalo la kutisha kuliko hao walioko bungeni punguzeni umbea wengine mmetoa humu mimba kibao mnafanya siri kumbe mnaumia moyoni wanaojitangazaga makanisani nao wakamatwe wafungwe maana nao hua wanatamka hadhalani msipende kujiona wasafi kupitia dhambi za wengine
 
Aisee, wewe ndo PS wa muumba nini??
 
Aaagh aache uongo siku hiyo hata Murano mpya hata bila hata plate numbers, ilifikaje kupewa nyumbani kwake? hakuikimbilia ya aliyopewa na ex wake alikimbilia BMW.

Yaani muongo sana huyu, manager Martin Kadinda wake alisema na kuandika watu wamechanga na kununua sasa anasema amehongwa

Kuna cha ukweli anachosemaga huyu zaidi ya kutaka kuona ex wake ameshuka kikazi kuomba wafuasi waende kiupinzani nae?

Juu ya mimba hakuna sheria ya kuua Tanzania? Mbona anaiongelea sana, kuna watafuta mimba hawapati yeye anaongelea kila mara kama ni kitu kizuri alichotenda. Inaudhi

hlf anavyosema labda wakati anatoa kuna vitu viliguswa ndio maana hafanikiwi kupata mtoto...so ile ya ndomo ndo ilitoka nayo kwasababu hyo au geresha ilikua kubembelezea penzi?
 
Ndio wajue jinsi huyu mwanamke alivyo mpuuuzi....Huyu hafai kuigwa na Jamii yetu ya sasa,....Ni mfano mbaya zaidi kuwahi kutokea.

Utoaji mimba ni kosa kwa sheria za Tanzania...Eti "Mbunge mtarajiwa" anajivunia kuwa alitoa mimba kisa hakuwa tayari....

Tunaposema huyu mtu hana akili hatukosei.......na wapigakampeni wake wote akili zao zinafanana na zake

Sasa ndugu yangu Heaven on Earth nilikwambia huyu katoa mimba saba....sasa unaone eeeh? kaanza kukiri mwenyewe

nipe ushahidi wa hizo 6 zilizobakia
la sivyo kajambe mbele Freeland
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom