Gracious
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 1,889
- 1,083
Naomba kuuliza,ivi na mtu ambae amejitangaza kuwa amewahi kutumia madawa ya kulevya au bangi nae anastahili kushtakiwa ama la?!
Mkuu hii issue ni multi-dimensional
Hebu chukulia kwa mfano wewe ukatangaze nimemuua jirani yangu...Je response ya sheria takuwa ni nini?
Pia hii ni ishu ya kimaadili...Je jamii inanufaika nini na unachokisema? Serikali inataka nini?
Pia angalia ukubwa wa kosa la "Murder " na illegal use of "drugs"......Aghalabu ukisema nilikua nasafirisha madawa ya kulevya...Jiulize response ya sheria itakuwa nini?