JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 668
- 1,522
- Thread starter
- #21
Bado sera za CCM na utekelezaji wake haunivutii kurudi uko.Rudi kwenye asili mzee ,leo yawezekana ungekuwa unakula kwa urefu wa kamba yako ila unaoga mitusi mitandaoni kama brother Chande
Leo nimebishana sana na mzee wangu ata yeye amekiri chama kimepoteza ushawishi. Atleast enzi za Magufuli.