Take Care People!!!Men at Work.


Duh!!Kweli kuna watu wamewekeza kwenye mali zilizo kwa watu wengine.Halafu hata polisi hawana njia madhubuti za kukabiliana na hali hii.
 
Pole sana, ila tamaa na kutokuwa na malengo, pindi utokapo nyumbani unatakiwa kuwa na ratiba,natoka nyumbani naenda ofisini na nitatumia muda fulani,nikitoka hapo naenda point b thn c nakuendelea.

Angalizo:
Tusiingize biashara nyingine katika muda ambao si wake
 
Cha kuzingatia ni kwamba tupunguze SHORT KATI za mafanikio, tutaepuka na mengi sana.
 
Asante kwa taarifa, no kuongea Na mtu sasa.
 

Onyo lako linaleta maana sana but sometimes the unfortunate do happen from nowhere.
 
Cha kuzingatia ni kwamba tupunguze SHORT KATI za mafanikio, tutaepuka na mengi sana.

Kweli kila tunachopata lazima tukitolee jasho na sio kuharakia kwenye msiba kwa kupita njia mkato isiyoelekea popote.
 
Duh! Pole zake huyo Mr. Josiah. Hii ni hatari sana!
 
asante kwa taarifa. tahadhari muhimi jamani, tusitembee na cash nyingi mitaani dunia imeharibika!!
 
asante kwa taarifa. tahadhari muhimi jamani, tusitembee na cash nyingi mitaani dunia imeharibika!!

Kweli,watu ukitembea na cash wanakufananisha na ATM hawakawii ku-draw hela zote.
 
Mtanzania halisi umemaliza yote. Hao jamaa wamewahi kunitokea mara mbili maeneo ya Kariakoo na Mwenge. Mra nyingi huwa nawajibu "mm sio mtaaalamu wa masoko" basi wanaingia mitini. Kwa yeyote mwenye kutaka fedha kwa njia ya mkato lazima anase.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…