Tajirika na Kilimo cha Nyoka: Tuwapende na kuwatumia Nyoka badala ya kuwaua

;);) Ushawahi kuwaza Siku umemkosa snake mmoja bandani nijinsi gn utamtafuta? Bora ufugaji wa mende tu
 
Aiseeeh,

Kweli Dunia ndiyo sasa inaanza kuonesha kile Kitabu cha Mwanzo cha vitabu vitakatifu kama Biblia kuwa nyoka walikuwa wanapiga story na Adamu na Eva kule Edeni.

Maana , siyo kwa wazo hili.

Daaaaah, Nimecheka sana.
 
!
!
umesahau faida nyingine, nyoka ni walimu wazuri wa sanaa ya mapigano kama tu ilivyokuwa Kwenye Snake in the Monkey Shadow
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom