Tajiri zungu la unga Ben Rowaza

Tajiri zungu la unga Ben Rowaza

Tread kama hizi Mara nyingi zinavuruga ushaidi.
Kuliko kupost ni bora ukawasilisha ushauri/utetezi wako mamlaka husika vinginevyo utaonekana mchonganishi.
 
wachawi kama hawa nuksi sana wanaweza kukuzushia mambo makubwa sana kisa wivu wa maendeleo tu
 
Na ww kauze sembe tena now
Imefka patam.kweli 1kg buku 2500
 
Tread kama hizi Mara nyingi zinavuruga ushaidi.
Kuliko kupost ni bora ukawasilisha ushauri/utetezi wako mamlaka husika vinginevyo utaonekana mchonganishi.
Ukiwasilisha ushahidi polisi na huyo mtuhumiwa ni polisi anaejuana vizuri na polisi wenzake, tena ana ushawishi mkubwa wa kipesa, unadhani utabaki salama?! Jiulize tu wewe mwenyewe
 
Ukiwasilisha ushahidi polisi na huyo mtuhumiwa ni polisi anaejuana vizuri na polisi wenzake, tena ana ushawishi mkubwa wa kipesa, unadhani utabaki salama?! Jiulize tu wewe mwenyewe
Mkuu hapo ni simple. Kama kweli una ushahidi ni rahisi kuwasilisha. Fanya inter-agency submission.

Submit ushahidi wako kwenye vyombo vyote vya ulinzi na usalama unavyovijua. Hakuna MTU anaeweza Ku infiltrate huko kote. Tatizo ni ule ushahidi wa "nilisikia" au "mtaani wanasema" hapo lazima uogope kuwasilisha ushahidi.
 
Kamishna wa Tume ya Kuzuia Dawa za Kulevya anasema kila leo mwenye taarifa atusaidie. Sasa wewe kwa nini usimpe taarifa kamishna huyo? Huku tutakusaidiaje? Piga simu 113 waeleze hao watatatua tatizo hilo.
 
Acha Majungu wewe mbona MAKONDA ana vyeti feki ameachwa na wewe acha majungu
 
Kamishna wa Tume ya Kuzuia Dawa za Kulevya anasema kila leo mwenye taarifa atusaidie. Sasa wewe kwa nini usimpe taarifa kamishna huyo? Huku tutakusaidiaje? Piga simu 113 waeleze hao watatatua tatizo hilo.
Hadi sasa hivi unaamini kabisa yule mmasai hajafikiwa na hizi taarifa za huyu ben?, huu uzi umeshamfikia bila shaka
 
Mtoa mada huna tofauta na Makonda, kwani unajaribu kumtuhumu mtu kwa sababu za kufikiria na wivu ndani yake.
 
Back
Top Bottom