Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,808
- 140,794
- Thread starter
- #21
Wakikaza wanaambiwa hawana nidhamu,
Wakikaza wanaambiwa hawana nidhamu,
Hahaha chungu lakini dawa 😀
Unajua kama huo mjengo ni wa Tshabalala? 😀😀😀😀😀😀 Mumfundishage Zimbwe namna ya kuvaa bana Mtani sababu najua hata wewe huwezi tupia pigo ka zile.
Umeamua kunipiga kamba Mtani.Unajua kama huo mjengo ni wa Tshabalala? 😀😀😀
Ushamba wake tu acha Yanga watupieHUYO MOHAMED HUSSEIN UVAAJI GANI SA HUO HATA KAMA NDIO KUVAA SIMPLE ILA SIO KIHIVYO JAMAANI .
CHEKI HIYO KUBAZI YAKE HALAFU FANANISHA NA ZA WACHEZAJI WA WANANCHI (NA HIYO NDIO MAANA HALISI YA KUVAA SIMPLE YAANI KUBAZI YA KAWAIDA ILA WAMEPENDEZA)
Hana hela ya kuwa na nyumba hiyoUnajua kama huo mjengo ni wa Tshabalala? 😀😀😀
Anadhani umetoka siitumii😁😁Umeamua kunipiga kamba Mtani.
😁😁😁 Yanga yetu mtuache
Haswaaa.Ushamba wake tu acha Yanga watupie
Ila hawa jamaa wamezidi ushamba mkuu,hivi kulikuwa na sababu gani ya kujivika ile mijaketi juzi juzi pale kwa mchina na joto hili la Dar?Katajiri kapo simple tu,masikini full midosho
Majitu kama hao ambo pesa ipo ila kuvaa halijui Mara nyingi huwa mabahiri hawasaidi hata Mara moja pia hua MACHOYO YA FADHILA"
Majitu kama hao ambo pesa ipo ila kuvaa halijui Mara nyingi huwa mabahiri hawasaidi hata Mara moja pia hua MACHOYO YA FADHILA"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katajiri kapo simple tu,masikini full midosho